kwanza nakupongeza sana kwa kua na ndoto ya kuja kugombea urais, naomba kukosoa kidogo baadhi ya mambo ambayo umeahidi kuyafanyia kazi pindi utakapo ingia mjengoni dodoma.
No. 1 umechemka mkuu, hii mifuko ya hifadhi ya jamii inatunza fedha kwa ajili ya kuwasaidia wafanyakazi uzeeni, wewe unataka watumie akiba yao sasa ili uzeeni waishije?
No. 2 nitajie japo somo moja lisilo na tija huko shuleni kama ulivyosema utayafuta masomo yasiyo na tija. kwenye vyuo vya veta umechanganya, umesema kama mtu alijifunza umeme wa magari awe na uwezo wa kuifumua injini ya gari, tambua ufundi kwenye injini na umeme wa magari ni fani mbili tofauti
No. 3 pia umechemka sana tu. hivi kweli mbunge anaeongoza jimbo zima tena lenye changamoto kibao awe na mshahara sawa na mtumishi wa uma!!! umesahau kua kuna wananchi wanao amini mbunge wao ni kimbilio hata kwa matatizo yao binafsi
No. 4 naungana mkono na wewe kwa 70%
No. 5 hapana kabisa, ni kama vile unataka kutuletea mambo ya sodoma na gomola tz. hivi kweli hawa watanzania ninao wafaham uwaruhusu wavae watakavyo unadhani itakuaje mkuu?!! kama sahz tu wanaingia na vimini makanisani ukija na hio sera yako ya mavazi si wataingia na chupi!!!
naomba kuishia hapa kwa sasa, 0766683386 kwa uteuzi pindi ukiingia nyumba nyeupe