konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
- Thread starter
- #141
Mapinduzi ya elimu ndio yatakayoipeleka Tanzania kwenye ulimwengu wa kwanza.Swala la elimu kiukweli linatakiwa kusukwa upya si utani
Shule zote zinapaswa kuwa tech na Ni lazima kijana achague somo la ufundi kwa viboko vingi na agriculture iwe ni lazima kwa bakora mujarabu