Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

Unaonaje Mimi nikawa meneja kampeni wako
 
Tatizo ukikaa golini shetani na wanawe hawakuachi upitishe vitu vya Mola watakubananishi wapitishe na vya kwao, utanielewa siku nyingine.
 
Uko vizur kosa lako ni kufikiri watu wote wanaweza kuwa wanasayansi. Tunahitaji pia wachekeshaji. Unaafikiri hata kufuta maavumbi kunahitaji magazijuto
Au hujui piaa wachelshaji ni muhimu.
 
Uko vizur kosa lako ni kufikiri watu wote wanaweza kuwa wanasayansi. Tunahitaji pia wachekeshaji. Unaafikiri hata kufuta maavumbi kunahitaji magazijuto
Au hujui piaa wachelshaji ni muhimu.
Uongozi wangu utatambua pia vipaji mbalimbali.
 
Umepita mkuu
 
Mbona huzungumzii katiba maana kwa sasa anayetawala kasema anajenga nchi au na wewe hupendi katiba mpya
 
Mbona huzungumzii katiba maana kwa sasa anayetawala kasema anajenga nchi au na wewe hupendi katiba mpya
Kuna uzi wangu mwingine nimeongelea lazima katiba mpya ipatikane ndani ya utawala wangu.
 
Inaonekana uko dsm tu na ni mtu wa ndani tu ndo maana mawazo yako ni ya kijinga kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…