konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
- Thread starter
-
- #101
Niandalie kura yako mkuu. Huna sababu ya kuwekewa hela yako NSSF/PSSSF ilihali ukiitaka hupewi kwa wakati. Kila mtu atatumia hela yake atakavyoona inampendeza.Hapo NSSSF/PSSSF umenigusa.
Niandalie kura yako mkuu. Huna sababu ya kuwekewa hela yako NSSF/PSSSF ilihali ukiitaka hupewi kwa wakati. Kila mtu atatumia hela yake atakavyoona inampendeza.
Mkuu wewe andaa kura yako mengine niachie mimi.Kila la kheri kwenye mawazo yako, ila kwa Africa sidhani kama yatatekelezeka.
Tukikupa hutakuwa tofauti na wengine.
Hahaha wewe bhana. Mbona msukuma na kibajaji na wengine wengi huwataji?Kigezo kikiwa Cha ubunge kikiwa ni form 6, sugu ndio basi tena. Pole Sana sugu, watu hawakupendi
Hoa siwakubali, namkubali sugu tu. Ndio maana nashangaa humu makamanda wenzangu wanataka kigezo kiwe form 6 ili sugu asigombee Tena ubungeHahaha wewe bhana. Mbona msukuma na kibajaji na wengine wengi huwataji?
Kwahiyo unadhani sina vigezo vya kuwa Rais wa nchi hii? Kwa taarifa yako mimi nitakuwa bonge la Rais. Tanzania ndani ya miaka 5 tu ya kwanza ya Urais wangu itakuwa level nyingine kabisa.Anyway, Kuna muda pia hata saa mbovu huwa inasema ukweli[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kijiji cha Sayansi na Technologia alichokiota mwalimu miaka ya 80's wewe huna habari nacho?? Kwamba wanasayansi na wagunduzi wenye IQ kubwa basi wakae wenyewe badala ya kuchanganyikana na mijitu mijinga huku uraianiNitaanzisha vyuo vya utafiti na ugunduzi. Kutakuwa na vyuo maalumu kwa ajili ya utafiti na ugunduzi. Wanafunzi wote wa vyuo vikuu wanaosoma taaluma zinazohusiana na sayansi lazima waende chuo cha utafiti na
Kwenye kampeni ndio nitakuwa naionyesha picha ya Khumbu hahahaha!Mkuuu naomba uongeze namba 13 kuonyesha picha humu Jf ya KHUMBU
Hausemi uongo ndugu yangu. Safari yangu ya urais inaanzia JF. Member wote wakinikubali kazi itakuwa rahisi sana. Nataka member wote wanihakikishie kura zao.Naona jamaa yupo SIRIAZI kweli kweli kujibu yaani anaenda sawa na wapiga KURA wake
Au nasema uongo ndugu zangu
Mkuu hakuna kinachoshindikana. Hivi nchi kama the netherland unajua ilikoanzia? Ilianza na sera kama zangu. Iliweka kipaumbele kwenye elimu. Sasa mimi nitaenda zaidi ya hapo.Mpaka hapo ishakuona mwongo hauna tofauti na wimbo wa profesa J, Mheshimiwa tugawane vya kwako
Atajiendeleza mkuu.Hoa siwakubali, namkubali sugu tu. Ndio maana nashangaa humu makamanda wenzangu wanataka kigezo kiwe form 6 ili sugu asigombee Tena ubunge
Mkuu muda ukifika wewe nipe kura, utekelezaji niachie mimi. Sitakuangusha. Utaruhusiwa kuja ikulu kuniuliza ikitokea kuna sera nimeshindwa kutekeleza.Sera zako nzuri sana Mkuu lakini ishu ni utekelezaji, sema bondeni natumai kuna mengi ulijifunza.
Kila la kheri...