Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

We Udochi naona kuna watu wanakushauri vizuri wengine vibaya. Sasa fuata ushauri wangu.
Toyota Ist 1490cc itakufaa kwa sababu kwanza bajeti yake ndio hiyo milioni 9.5 mpaka 10.5m
Kwa ulaji wa mafuta utaiweza na Ac pia unawasha.
Kwa vile ni mjasiriamali hata bidhaa zako za dukani unaweza kununua kutoka labda pale kwa Moshiro Kinyerezi kuzipeleka huko mjini kwako unakouzia bila tabu na petrol ikatumika ya wastani tu.
Usinunue Noah, Brevis, Mark 2 Grande zitakufilisi wala Vitz pia usinunue.

Na hiyo Ist mil 9.5 mpaka 10.5 unazipata hapahapa Dar wala usihangaike kuagiza.




Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Ushauri wako ni mzuri na nakushukuru sana.
Umesema kwa bajeti yangu itatosha kununulia hapahapa-
Je ni ya kwenye showroom ambayo haijatumika hapa Tanzania au ni iliyotumika hapa kwetu kisha mwenyewe akaamua kuiuza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Agiza gari japan, gari za show room za bongo nyingi zimechezewa. Agiza tu ila hapo bajeti kwa IST utaongeza hapo laki 5 mpk milioni ili upate na bima comprsv.
Mkuu,
Ushauri wako ni mzuri na nakushukuru sana.
Umesema kwa bajeti yangu itatosha kununulia hapahapa-
Je ni ya kwenye showroom ambayo haijatumika hapa Tanzania au ni iliyotumika hapa kwetu kisha mwenyewe akaamua kuiuza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mmemuelewa kweli anachotaka mbona hamuheshimu maamuzi ya MTU!?...kasema anataka gari wewe unamuambia afanye biashara nyinyi vp!?
 
Unapata hapahapa Tanzania ambayo hajatumia mtu hata mmoja kwa 10.5
Ukitaka ambayo imeshatumiwa na Wabongo hapa unapata kwa 9, 9.5 inategemea na muda pia iliyotumika
Mkuu,
Ushauri wako ni mzuri na nakushukuru sana.
Umesema kwa bajeti yangu itatosha kununulia hapahapa-
Je ni ya kwenye showroom ambayo haijatumika hapa Tanzania au ni iliyotumika hapa kwetu kisha mwenyewe akaamua kuiuza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,
Nitaanza kufuatilia moja wapo ya hayo magari na watayoshauri waheshimiwa wengine.
Je inatosha kulipia gharama zote mpaka inaingia barabarani bila kero yoyote?

Hiyo hela nimedunduliza kutoka kwenye biashara yangu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashauri uagize kwa kutumia wakala BE FOWARD. Usilogwe kabisa ukanunua used bongo

Vits itakufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije nunua used hapa Tz utalizwa...

Usije watumia mawakala wa kuagiza wataongeza milioni 2 nzima na story zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu kutonunua hapa kwetu hilo suala hata mimi nakubaliana nawe asilimia zote.

Kuhusu kutotumia wakala hapo sasa itabidi nitafute wajuzi waaminifu ili wanipe elimu juu ya uagizaji wa gari bila kutumia wakala,
Maanak'e mimi bado sina ujuzi wa kufanya hayo manunuzi mtandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani maisha ni mpaka ghorofa mzee????

Hata kwa hivi vya kawaida tu tunapeana ushauri..
Hata hao wenye maghorofa walianza na nyumba za makuti.......Usijione una ka gari kako , jumapili umavaa kapensi unazungusha kafunguo basi ukaijiona maisha ndo ushayapatiaaa......mwehu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kayapatia Mkuu, wengine hatuna hayo magari... Acha watu wafurahie maisha
 
Nunua IST nenda BE FORWARD pale wakufanyie mambo january mwshoni utembelee tako...

Usinunue gari bongo raha ya gari kuagiza likitona bandarini unajiona bonge la shujaa halafu linatoka na ki pafyumu flani kinanukia..

Sio ununue hapa mengine ya gundu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom