Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Usafiri ni kitu cha muhimu sana hapa mjini, achana na hizo story za kumiliki assets.

Usafiri unakusaidia kuokoa muda na kukupandisha thamani.

Na ukishaweza kuwa na usafiri na kuweza kuuhudumia basi mambo mengine madogo hayakupigi chenga.

Pambana uvute mkoko, akili itapanuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mkuu hukumsikia Mh.Makonda kuhusu IST?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimsikia, nadhani maneno yake ni zao la fikra zake, uhuru wake wa kuongea na hali yake ya maisha.

Lakini mimi naona watanzania wengi wanaendesha hayo magari na maisha yanaenda tu.
Na nilipomwona Profesa Mussa Assad, C.A.G mstaafu anaendesha hilo gari, nikasema mtu mwenye cheo kikubwa, elimu kubwa na uwezo wa kipesa kama huyu anaendesha gari hili, mimi ni nani nilibague wakati simkaribii huyu hata robo kisa tu kuna mtu katoa maoni yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli akili huna...Biashara amesema anayo na amedunduliza iyo hela..bora ungemshauri aongeze mtaji au afanye diversification.
Kwanza mnatakiwa muondokokane na mawazo hayo ya kimaskini kwamba kumiliki gari ni anasa au gari si hitaji muhimu

Kifup gari au chombo chochote cha usafiri ni miongoni Mwa vitu muhimu sana katika maisha kwa sasa na gari ni muhimu zaid kwa sababu ya usalama wake katika kutoa huduma
 
Mimi sina shida na uyo jamaa mleta uzi infact yupo sahihi ila uyo niliye mquote kidogo ndio hatukuelewana
 
Mihemko ya kike haijawahi muacha mtu salama, ivi umeelewa kilichoandikwa? Ebu rudia kusoma vizuri au rudi hata darasani kabisa labda utakumbuka hata kusoma alphabet.
Sawa kwa kuwa umefanya citation kwa Kiduku lilo ina maana wewe na huyo kiduku lilo akili yenu moja ndiyo maana ukakubali mawazo yake...ukayafanyia citation.....ila ukiona mtu ana hela zake hata kama ni kidogo ziheshimu....
Kwa sababu pesa zako hazimsaidii mtu yoyote...

Punguza dharau kijana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamekutoka wapi hayo yote au umeachwa? Nini maana ya citation kwenye hiyo sentence?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…