Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Usafiri ni kitu cha muhimu sana hapa mjini, achana na hizo story za kumiliki assets.Kiukweli mimi sina vitu ninavyomiliki zaidi ya kiwanja kimoja huko mkoani, na kingine kidogo huko pembeni ya mji pamoja na hili duka dogo tu "la Mangi".
Sasa hapo sijui kama naweza kusema kuna aseti yoyote au laa.
Ila vitu vya thamani kama vile nyumba kwa kweli bado sijabahatika kuvipata, ingawa nia ya kuwa na nyumba na biashara kubwa ipo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafiri unakusaidia kuokoa muda na kukupandisha thamani.
Na ukishaweza kuwa na usafiri na kuweza kuuhudumia basi mambo mengine madogo hayakupigi chenga.
Pambana uvute mkoko, akili itapanuka.
Sent using Jamii Forums mobile app