Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Hii inaweza ikawa kazi yake mpya ya kunga'ata na kupulizaHiyo tongoza ni mbaya na utaendelea kukosa warembo. Unapotongoza hakikisha haumtaji mwanamme mwenzako katikati ya maongezi unapunguza credit
NOTEDHiyo tongoza ni mbaya na utaendelea kukosa warembo. Unapotongoza hakikisha haumtaji mwanamme mwenzako katikati ya maongezi unapunguza credit
ImejipostKwani hapo unasoma au umeandika
Hatusemi fyatu fyangu sisiKina @ndanyelakakomu wanakula sana maparachichi
Watu wa kureplace V kwenye F mwambie aje aseme ( viatu vyangu) utasikia fyatu fyangu
Haha nakuchana
MmmmhHana lolote pimbi
Jirani mpenzi sitaki kuamini imani juu yangu imekuisha jiraniLisemwalo lipo kama halipo laja.jiran,nachukua costa hapa fasta naibuka hapoooo unieleze kinagaubaga
Sawa kumbe we ni miongoni mwa wasahaulifuImejipost
Bado mkuu
Umeaua kuongezea na wivu tena wakati umeambiwa mapema punguza wivu jifunze kula na kipofuLisemwalo lipo kama halipo laja.jiran,nachukua costa hapa fasta naibuka hapoooo unieleze kinagaubaga
Ndio giza inaanza subiria Nyamnyam chambu ufaidiYe Chambu vipi??
Msimu wa mbalamwezi bado haujaisha??
Nimemiss dagaa za Burundi
Hiyo tongoza ni mbaya na utaendelea kukosa warembo. Unapotongoza hakikisha haumtaji mwanamme mwenzako katikati ya maongezi unapunguza credit
hahhahah mtaalam wa hizi kazi akitoa ushauri DabyHiyo tongoza ni mbaya na utaendelea kukosa warembo. Unapotongoza hakikisha haumtaji mwanamme mwenzako katikati ya maongezi unapunguza credit
[emoji23][emoji23][emoji23]Imejipost
Mbona unahasira mapemaWeeeeeeh nani huyo wa kuogopa??
Halafu hilo jina nikama la Burundi Burundi vile muulize hata Mondray