Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuchana lee empire
Punguza wivu kama jux
Kwani shunie umemtolea sh ngapi.
Mwache na sisi tumfaidi mrembo huyo.
Nduki!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuchana lee empire
Punguza wivu kama jux
Kwani shunie umemtolea sh ngapi.
Mwache na sisi tumfaidi mrembo huyo.
Nduki!!!!!!!
Jirani mpenzi sitaki kuamini imani juu yangu imekuisha jirani
Teh teh..Kina @ndanyelakakomu wanakula sana maparachichi
Watu wa kureplace V kwenye F mwambie aje aseme ( viatu vyangu) utasikia fyatu fyangu
Haha nakuchana
Umeaua kuongezea na wivu tena wakati umeambiwa mapema punguza wivu jifunze kula na kipofu
NAKUPENDA BIBIE BANAANGEFanya haraka usije ukanikosa ohooooi
Hawa ni majirani zangu sina undugu naoWeeeeeeh nani huyo wa kuogopa??
Halafu hilo jina nikama la Burundi Burundi vile muulize hata Mondray
Wewe umeibia jina wewe lillikufaa la mwa mwa mwa kina
mwalukuta
Mwakyembe
Mwanasheria
Mwaitege
Makonda.. Kwani nani mwingineYupi!
Hapo ukifika tu umekosea maana utakuwa umejipeleka machinjioni waswahili wanaitaNimepanik tu mkuu ngoja nishukie njiani tu
Hizi Sera zako ni za miaka ya zamani sanaNAKUPENDA BIBIE BANAANGE
Nimefikisha ujumbe kwa ufupiHizi Sera zako ni za miaka ya zamani sana
Hapo ukifika tu umekosea maana utakuwa umejipeleka machinjioni waswahili wanaita
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Zamani maisha yalikua Sketi unajiachia
Sikuhiz yamekua Taiti yanabanaaa
Hapo unasabababisha mondray ajisikie angalau maana alijua amepoteza ndege wake anaenda kutua kwa dabyNimeshashuka nageuza nilikotoka
Sawa ila tegemea majibu mawili kama sio matatuNimefikisha ujumbe kwa ufupi
Nichane tu wewe si ulinikataaaTehteh Baada ya joanah kukusumbua miezi nenda rudi bila bila naona unataka hamishia majeshi kwa Baanange ndomana umempenda buree baada ya kusema yeye ni Ke
Nakuchana
SawaSawa ila tegemea majibu mawili kama sio matatu