Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Maliziaaaa ulicho taka kusemaUnaendelea kudhihirisha kabisa kuwa Daby ni.............
Ngoja nifunge domo langu lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maliziaaaa ulicho taka kusemaUnaendelea kudhihirisha kabisa kuwa Daby ni.............
Ngoja nifunge domo langu lol
Kumbe mpaka apitie kwenye kamati maalumMondray tatizo nyotaa
Mpaka aende kwa karumanzila hukoo sijui Buhigwe sijui Kakonko akirudi wazee washabeba
NAKUPENDA BIBIE BANAANGE
Big up kwa Miss Chagga, huwa napenda uwazi wako ktk kutoa ushauri wa vitu mbalimbali kwa watu, popote ulipo agiza kinywaji baridi ukipendachonavuta nyuki
Ahsante bibieNakupenda pia babuye Mondray
Basi atakuwa na majibu yeye kwani alilia wakati unamchanaAnanijua mwenyewe Daby nishamchana akaanza kulia bila kujua mchezo hauitaji hasira sana
Hizi Sera zako ni za miaka ya zamani sana
Umenichekesha kwa kweli ChambuHalafu nawewe avatar yako vipi??
Kama ya mtoto taahira vile badilisha bana
Nakuchana
Basi sawa mkuuAmeeleweka lkn.maana namimi napendaga sera za zamani kweli
Mm pia siipendagi [emoji23]Halafu nawewe avatar yako vipi??
Kama ya mtoto taahira vile badilisha bana
Nakuchana
Ahaaaa tatizo hujui kukipiga vizuri tuakakichanganya vzr.Kwa sababu Leo ndo nimekujua kuwa you are my chambu upande wa nyina
Nimecheka mpaka nimechomoka vichakani[emoji23] [emoji23]Inaonekana tunatumia nguvu nyingi kuwafukuzia wakati wazee wanatumia mpesa Tigo pesa