[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha kukimbilia gizani halafu baadae uanze kupiga kelele kuwa amening'ataAhaaa ni private issues
I'm speechless ujue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umenifurahisha sanaSidhani ila sipendi kukaa muda mrefu bila. ...
Nikiskia hizo mambo kama sjaji tune kuziskia huwa naskia hovyo saana.
jiunge ww halaf utuletee mrejesho kuwa umetajirika au upo pale paleKujiunga na chama cha Freemason tz ili uwe tajir, umaaruf Piga namba zifuatazo nikuunganishe 0621427735,0712854564
Matajiri hawana huo muda wakoKujiunga na chama cha Freemason tz ili uwe tajir, umaaruf Piga namba zifuatazo nikuunganishe 0621427735,0712854564
Utakuwa unanipa updates[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umenifurahisha sana
Nipo jiran hapa hapa tenaRudi jiran
Sasa uweke avatar nzuri bwana mm
Huyo namuogopa
Haha...
Nina mengi ya kusema kuhusu wewe mahondaw...
Lakini sitosema mengi saaana... Coz you know where to find me so do i...
Nachoweza kusema umebarikiwa.. Nikimaanisha kwa kila kitu... mahondaw na kwa mambo mengi sana...
Napenda sana unavyojitunza, kujithamini, unavyojiremba kwa ajili yangu... Unavyonidekea.. Na unavyojitoa kwa ajili yetu (mimi na wewe)... Na vile vile mapenzi unayaweza sana hongera...
Ndani ya JF unaongea na wengi kirafiki lakini nje ya JF you are very strict na hupendi mchezo... its only mahondaw and Smart911 ndiyo maana sina shaka na wewe... I love that...
Well all i can say... Nakupenda sana mahondaw take care and keep in mind as you always do, that Smart911 is totally in love with you...
Lots of kisses and hugs...
# Nacheka kwa dharaaaau #
Love you sana ma beiby
amna dear majukumu.Haha...
Naona siasa zimekuficha
Njoo pm tafadhari kama hutajali.Love u back honey
sitakiUtakuwa unanipa updates
Kwani wewe sio mwanachi. Chunga mdomo wakoamna dear majukumu.
Bashite atajijua na wananchi wake [emoji5]
Kisaa...taka bwana..basi espy atakuwa ananileteasitaki
Hello members.!
Leo ni siku yako ya kumwambia chochote unachojisikia kumwambia katika nafsi yako, liwe zuri au baya awe tayari kulipokea, kwani leo ni siku ya kuyapokea maoni ya kila mtu humu ili tujirekebishe au kuongeza bidii.
Kwa hiyo MWAMBIE CHOCHOTE UNACHOKIFIKIRIA. Wee mwambie tu usiniogope na hutakiwi kukasirika.
Nianze na mods,
Ban- sikuhizi kumekua na ban nyingi sana tofauti na zamani sijui tatizo ninini. Ukiingia jf tu unakutana na ban za kutosha yani kila kona ni ban ban ban ban duhhhhhhhhhhh.
Editing - kuna editing fulani hivi hufanywa na mods yani zimekaa tenge kweli kweli binafsi zinaniboa naona hata hazipendezi