Nichane Day

Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Kujiunga na chama cha Freemason tz ili uwe tajir, umaaruf Piga namba zifuatazo nikuunganishe 0621427735,0712854564
 
Nina mengi ya kusema kuhusu wewe mahondaw...

Lakini sitosema mengi saaana... Coz you know where to find me so do i...

Nachoweza kusema umebarikiwa.. Nikimaanisha kwa kila kitu... mahondaw na kwa mambo mengi sana...

Napenda sana unavyojitunza, kujithamini, unavyojiremba kwa ajili yangu... Unavyonidekea.. Na unavyojitoa kwa ajili yetu (mimi na wewe)... Na vile vile mapenzi unayaweza sana hongera...


Ndani ya JF unaongea na wengi kirafiki lakini nje ya JF you are very strict na hupendi mchezo... its only mahondaw and Smart911 ndiyo maana sina shaka na wewe... I love that...


Well all i can say... Nakupenda sana mahondaw take care and keep in mind as you always do, that Smart911 is totally in love with you...


Lots of kisses and hugs...


# Nacheka kwa dharaaaau #

OMG I don't know what to say super Dear
Thanks God for bringing this Wonderful lucky man into Mahondaw's life

Ndomana nakupenda mzungu wangu
Huna maneno mengi wewe ni Mtu wa kuact tu
Huna hasira wala shobo wewe ni mtaratiiiiiibuuuuu mstaarabu wewe mchezo ushausoma hata hupati tabu Wala ghadhabu
Unajua kabisa hapa mahondaw saiv yupo chitchat kwa keyboard tu

Nitafurahi sana.. and thank you for noticing that Kwamba what ever I'm doing or writing in JF I just write but nipo pembeni yako hapaa nkimaliza ku chit chat tu unanivutaaaaaa unanisogezaa chembaa We hug kiss have our moments and go to bed... Together...
Why chase your own chicken super Dear??

A very deep sweet and Long kiss for you my lovely super Dear

Mmmmmmmmmmmhhmmuuuuuaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Smart911
 
Hello members.!
Leo ni siku yako ya kumwambia chochote unachojisikia kumwambia katika nafsi yako, liwe zuri au baya awe tayari kulipokea, kwani leo ni siku ya kuyapokea maoni ya kila mtu humu ili tujirekebishe au kuongeza bidii.
Kwa hiyo MWAMBIE CHOCHOTE UNACHOKIFIKIRIA. Wee mwambie tu usiniogope na hutakiwi kukasirika.

Nianze na mods,

Ban- sikuhizi kumekua na ban nyingi sana tofauti na zamani sijui tatizo ninini. Ukiingia jf tu unakutana na ban za kutosha yani kila kona ni ban ban ban ban duhhhhhhhhhhh.

Editing - kuna editing fulani hivi hufanywa na mods yani zimekaa tenge kweli kweli binafsi zinaniboa naona hata hazipendezi

Kweli mkuu umeamua kutuchana!

BAN hutembea kwa wale wakorofi wanaovunja sheria za jamvini kwa makusudi licha ya wengi wao kuonywa mara kadhaa... Hata hivyo kuna kukata rufaa unapoona adhabu uliyopewa haistahili (support@jamiiforums.com).

Ila na mie ngoja niwachane kidogo baadhi ya members wanaoharibu mijadala kwa lugha zisizofaa na kuanzisha mada ndani ya mada; Mnakera sana, acheni huo mchezo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom