Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Mods na mm nakuchana sasa.
Kwanini mnakawia kujibu ujumbe eeh.
Kwanini hamtangazi nafasi za kazi ya umod
 
Mods kwanini PM yangu haina mvuto na mashory,miaka yte hii niko jf hata siku moja sjakutana na mesej ya mchuchu hata ya bahati mbaya?,ni haki kweli hii,mlishuhulikie hilo.
 
Mkuu nakuchana..... Una jina baya kuliko watu wote humu Jukwaani. Wewe na Nantombe Mushi. Hahaha
Kun mwengine wakuitwa Kanyela mumo,sjui ni lugha gani ila translation lazima itakuwa kanya humohumo
 
Mods na mm nakuchana sasa.
Kwanini mnakawia kujibu ujumbe eeh.
Kwanini hamtangazi nafasi za kazi ya umod

Tunapokea jumbe nyingi sana na tunajitahidi kuzipitia zote.. Ila tutaongeza kasi mkuu..
Nafasi za umod zitatangazwa endapo tutahitaji kuongeza nguvu, usijali kabisa..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…