Revocatus evodius
Member
- Feb 16, 2017
- 31
- 15
We bint acha ujinga Wako saw we kaa nyumban kwenuMatajiri hawana huo muda wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bint acha ujinga Wako saw we kaa nyumban kwenuMatajiri hawana huo muda wako
labda espy [emoji23]Kisaa...taka bwana..basi espy atakuwa ananiletea
Yanachosha. Maisha yenyew ya complications yapo wapiKwani wewe sio mwanachi. Chunga mdomo wako
Wewe si haunipendilabda espy [emoji23]
Mods na mm nakuchana sasa.Kweli mkuu umeamua kutuchana!
BAN hutembea kwa wale wakorofi wanaovunja sheria za jamvini kwa makusudi licha ya wengi wao kuonywa mara kadhaa... Hata hivyo kuna kukata rufaa unapoona adhabu uliyopewa haistahili (support@jamiiforums.com).
Ila na mie ngoja niwachane kidogo baadhi ya members wanaoharibu mijadala kwa lugha zisizofaa na kuanzisha mada ndani ya mada; Mnakera sana, acheni huo mchezo!
Haha...Yanachosha. Maisha yenyew ya complications yapo wapi
Lazima nifanye kweli Chambu wanjeKaza buti chambu mpaka kielewekeeeee kakangu. Usiniangushe awamu hii kama ulivoniangusha kwa J.
Kun mwengine wakuitwa Kanyela mumo,sjui ni lugha gani ila translation lazima itakuwa kanya humohumoMkuu nakuchana..... Una jina baya kuliko watu wote humu Jukwaani. Wewe na Nantombe Mushi. Hahaha
Unaanza tena kukimbilia gizani
Hatujuani mkuu...kamata zako aaaalaaahWe bint acha ujinga Wako saw we kaa nyumban kwenu
Sidhani ila sipendi kukaa muda mrefu bila. ...
Nikiskia hizo mambo kama sjaji tune kuziskia huwa naskia hovyo saana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimekwambia mwanaume wa kweli haogopi kuonyesha anacho taka kionekane kwa ampendae
Nimekwambia mwanaume wa kweli haogopi kuonyesha anacho taka kionekane kwa ampendae
Mods na mm nakuchana sasa.
Kwanini mnakawia kujibu ujumbe eeh.
Kwanini hamtangazi nafasi za kazi ya umod