Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Mkuu punguza povu take it easy man. Wote ma dume marumbano ya nini?
hans mtanashati anapenda utani tu na hakua anamaanisha hivyo. Hapa chitchat tu bro hajamaanisha.
Sijapaniki mkuu.Mie mwenyewe ni mtu wa utani sana tu,ila tu isivuke mipaka,kunifananisha na wanawake na kusema jina maridhawa kama hili langu eti ni la kike ni kuvunjiana heshima,anyway nitaonana na mzazi wake nimwambie amkanye mwanae aache kutukana wakubwa zake.
 
Umeshind dogo,sina kawaida ya kubishana mitandaoni,jina sibadilishi acha liwe la kike hivihivi.
 
Mkuu jishushe bwana usipende ligi zisizo unajivunjia heshima.

Huwez jua lina maana gani jina lake.
 
Take it ize. Napenda sana washkaji kama wewe wasio na makuu na hivyo vidume ndio inatakiwa tuishi.
 
Mtakatifu Mtakatifu baba wa mbinguni
Mwenye nguvu uweza na mamlaka yote baba ingilia kati balaa hili ee mungu baba
Ondoa Ibilisi mwovu shetani na wafuasi wake hawa wanaotaka chafua hali ya hewa baba
Hii vita ni kali sana ee mungu baba.
Amezidi huyu chizi kiki hazitafutwi hivi kila siku shunie hivi shunie vile ata kuchat naye sijawahi msenge wa head
 
Samahani kwa kukuingilia bibie.
Nakuomba usiendelee kutukana maana sio solution keep Quiet dear nadhan hapo utakua umesovu tatizo kiasi flan. Najua hua anakuudhi sana
Anakera mondray kila siku namuignore lakin kakazana na shunie tu bas ningewahi ata kuchat nae sijawahi mm
 
Mtakatifu Mtakatifu baba wa mbinguni
Mwenye nguvu uweza na mamlaka yote baba ingilia kati balaa hili ee mungu baba
Ondoa Ibilisi mwovu shetani na wafuasi wake hawa wanaotaka chafua hali ya hewa baba
Hii vita ni kali sana ee mungu baba.
Amen
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…