titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Sijapaniki mkuu.Mie mwenyewe ni mtu wa utani sana tu,ila tu isivuke mipaka,kunifananisha na wanawake na kusema jina maridhawa kama hili langu eti ni la kike ni kuvunjiana heshima,anyway nitaonana na mzazi wake nimwambie amkanye mwanae aache kutukana wakubwa zake.Mkuu punguza povu take it easy man. Wote ma dume marumbano ya nini?
hans mtanashati anapenda utani tu na hakua anamaanisha hivyo. Hapa chitchat tu bro hajamaanisha.