Unapoonyesha hasira baasi ndio unampatia njia adui yako ya ushindi. Fanya hv usimjibu wewe kila akipost kukuhusu wewe just report him to moderator.Anakera mondray kila siku namuignore lakin kakazana na shunie tu bas ningewahi ata kuchat nae sijawahi mm
Aisee nimekuwa dogo tenaUmeshind dogo,sina kawaida ya kubishana mitandaoni,jina sibadilishi acha liwe la kike hivihivi.
Sa mi nacheka au nashangaa kwa yanayoendleaSio ya kucheka haya ujue.
Calm Down!Anakera mondray kila siku namuignore lakin kakazana na shunie tu bas ningewahi ata kuchat nae sijawahi mm
Mkaushie bro ila naamini hatarudia. Yupo peace sana ila leo sijui kala kitu gani.Nashiriki Online forums since 2001 obviously najua jinsi ya kudeal na hawa madogo kizazi cha tekno.ndo maana nkampa ushindi ili lengo lake litimie.kubishana na mtu usiyemwona ni kupoteza muda tu.its all good tho,no hard feelings.
Hata simwelewi kama bangi hata sie twavuta lakini hatuna tabia za kishamba kuatack watu tusiowajua.Mkaushie bro ila naamini hatarudia. Yupo peace sana ila leo sijui kala kitu gani.
Hance Mtanashati muombe mwenzio msamaha bwana sio fresh
Usijali mkuuMkaushie bro ila naamini hatarudia. Yupo peace sana ila leo sijui kala kitu gani.
Hance Mtanashati muombe mwenzio msamaha bwana sio fresh
Kwani ugomvi mimi na wewe upo wapi ndugu?Hata simwelewi kama bangi hata sie twavuta lakini hatuna tabia za kishamba kuatack watu tusiowajua.
Surely brother,Ar panakuwa patamu..
Mkuu.....Mtakatifu Mtakatifu baba wa mbinguni
Mwenye nguvu uweza na mamlaka yote baba ingilia kati balaa hili ee mungu baba
Ondoa Ibilisi mwovu shetani na wafuasi wake hawa wanaotaka chafua hali ya hewa baba
Hii vita ni kali sana ee mungu baba.
Nakuunga mkono kweli kuna watu majina yamekaa kiume mf. Sakayo. Chikara mtabari. Banaange. BlessedHope.Usijali mkuu
Yameisha, mimi sio mtu wa kukwazana na watu
Sielewi ni kwa nini jamaa amepandwa na hasira ghafla ,maana ameuliza kwa nini hafatwi na wanawake pm nikamjibu kistaarabu tu labda pengine jina lake watu wanahisi ni ke kumbe ni me ,mfano hata chikira mtabari wengi tulikuwa tunajua ni me kumbe ni ke alikadharika na tya02 mwanzoni nilikuwa nadhani ni me kumbe ni ke
TATIZO HALIKIMBIWI LINASOVIWA JOOHMkuu.....
Nakushauri uwaombe moderators waufute huu Uzi.
Hakika nakuambia utasababisha ugomvi na minyukano isio ya lazima....
Asante
Ungeandika kama ulivyoandika hapa wala nisingekumaindi,kumbe ustaarabu unauweza,hebu linganisha ulivyoandika hapa na jinsi ulivyoandika mara ya kwanza utaelewa kosa lako lilipoUsijali mkuu
Yameisha, mimi sio mtu wa kukwazana na watu
Sielewi ni kwa nini jamaa amepandwa na hasira ghafla ,maana ameuliza kwa nini hafatwi na wanawake pm nikamjibu kistaarabu tu labda pengine jina lake watu wanahisi ni ke kumbe ni me ,mfano hata chikira mtabari wengi tulikuwa tunajua ni me kumbe ni ke alikadharika na tya02 mwanzoni nilikuwa nadhani ni me kumbe ni ke