Nichane Day

Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Anakera mondray kila siku namuignore lakin kakazana na shunie tu bas ningewahi ata kuchat nae sijawahi mm
Unapoonyesha hasira baasi ndio unampatia njia adui yako ya ushindi. Fanya hv usimjibu wewe kila akipost kukuhusu wewe just report him to moderator.
 
Nashiriki Online forums since 2001 obviously najua jinsi ya kudeal na hawa madogo kizazi cha tekno.ndo maana nkampa ushindi ili lengo lake litimie.kubishana na mtu usiyemwona ni kupoteza muda tu.its all good tho,no hard feelings.
Mkaushie bro ila naamini hatarudia. Yupo peace sana ila leo sijui kala kitu gani.
Hance Mtanashati muombe mwenzio msamaha bwana sio fresh
 
Mkaushie bro ila naamini hatarudia. Yupo peace sana ila leo sijui kala kitu gani.
Hance Mtanashati muombe mwenzio msamaha bwana sio fresh
Usijali mkuu

Yameisha, mimi sio mtu wa kukwazana na watu

Sielewi ni kwa nini jamaa amepandwa na hasira ghafla ,maana ameuliza kwa nini hafatwi na wanawake pm nikamjibu kistaarabu tu labda pengine jina lake watu wanahisi ni ke kumbe ni me ,mfano hata chikira mtabari wengi tulikuwa tunajua ni me kumbe ni ke alikadharika na tya02 mwanzoni nilikuwa nadhani ni me kumbe ni ke
 
Wakati mwingine unaweza ukadhani hauko JF

Nishawahi kugombana na watu jf ila haikuwa hivi..

Wakuu wakati mwingine tuwe kama Great thinkers..

Everyone is behind the monitor! Sio wote tunaojuana humu..

So mpe kila mtu heshima yale..
 
Mtakatifu Mtakatifu baba wa mbinguni
Mwenye nguvu uweza na mamlaka yote baba ingilia kati balaa hili ee mungu baba
Ondoa Ibilisi mwovu shetani na wafuasi wake hawa wanaotaka chafua hali ya hewa baba
Hii vita ni kali sana ee mungu baba.
Mkuu.....
Nakushauri uwaombe moderators waufute huu Uzi.
Hakika nakuambia utasababisha ugomvi na minyukano isio ya lazima....
Asante
 
Usijali mkuu

Yameisha, mimi sio mtu wa kukwazana na watu

Sielewi ni kwa nini jamaa amepandwa na hasira ghafla ,maana ameuliza kwa nini hafatwi na wanawake pm nikamjibu kistaarabu tu labda pengine jina lake watu wanahisi ni ke kumbe ni me ,mfano hata chikira mtabari wengi tulikuwa tunajua ni me kumbe ni ke alikadharika na tya02 mwanzoni nilikuwa nadhani ni me kumbe ni ke
Nakuunga mkono kweli kuna watu majina yamekaa kiume mf. Sakayo. Chikara mtabari. Banaange. BlessedHope.
Ila mkuu ulipokosea ni sehem moja pale alipokuambia kua jinsia yake ni Me ila wewe ukaendelea ku mind jina lake kua limekaa Kike
 
Usijali mkuu

Yameisha, mimi sio mtu wa kukwazana na watu

Sielewi ni kwa nini jamaa amepandwa na hasira ghafla ,maana ameuliza kwa nini hafatwi na wanawake pm nikamjibu kistaarabu tu labda pengine jina lake watu wanahisi ni ke kumbe ni me ,mfano hata chikira mtabari wengi tulikuwa tunajua ni me kumbe ni ke alikadharika na tya02 mwanzoni nilikuwa nadhani ni me kumbe ni ke
Ungeandika kama ulivyoandika hapa wala nisingekumaindi,kumbe ustaarabu unauweza,hebu linganisha ulivyoandika hapa na jinsi ulivyoandika mara ya kwanza utaelewa kosa lako lilipo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom