Sina hakika kwa hili aiseee.....Uyo dogo akili zake ni robo mkuu
Good nadhani nitalala salamaa sasa Upendo ndio ishu ya msingi nadhan hance hana Hana ubaye tena na weweLigi imeisha na bwana hance kawa mshindi,point zimelingana ila kanizidi idadi ya magoli.like I said its all good.peace
Its never your fault love... You started this thread to let members speak to each other with manners...Smart911 mylove wewe ni prophet nini??
What you told me is now happening duhhhhhhhhhhh
It's So sad mylove let me come to sleep
[HASHTAG]#Iloveyouverymuchsmart99beibee[/HASHTAG]!#
Weeeeeeh mimi simooooSina hakika kwa hili aiseee.....
Nimekua nikimuona sana humu, na sikuwahi kumuona akiwa mshari kwa yeyote.
Naomba niamini kwamba, alilo likusudia ni tofauti na yalio jiri.
Kwalugha nyepesi, halikua kusudio la @Mahandow kuleta mada yenye mnyukano
Bwana mondray inabidi tukupeleke kwenye kamati za usuluhishi wa migogoro ya kimataifa kama burundi,congo na south sudan,naona position itakufaaGood nadhani nitalala salamaa sasa Upendo ndio ishu ya msingi nadhan hance hana Hana ubaye tena na wewe
Lala Chambu wanje urefukeWeeeeeeh mimi simoooo
It's a chitchat hii so we were just chatting
Akhaaaaaa naogopa ugomvi miye nipo maili miaaaaaaa
Its never your fault love... You started this thread to let members speak to each other with manners...
But things got out of hand to some of the members...
Usijali super dear... Relax mahondaw... Ni upepo tu utapita...
Njoo nikukumbatie tulale sasa... You know before sleeping what i always give you love...
Mkuu kiukweli mm sipendi kua watu wakiwa wamekwazana. Hua inaniuma sana nikiona mtu kakwazana na mwenzake. Sipendi kumuudhi mtu na sipendi kuona watu wakikwazana. Nadhani katika swala la usuluhisho hujakosea mkuu nimeshazoea hivyo.Bwana mondray inabidi tukupeleke kwenye kamati za usuluhishi wa migogoro ya kimataifa kama burundi,congo na south sudan,naona position itakufaa
Urakoze chanye chambu wanje. Imana ikuhezagireAsante sana chambu idyoro dyiza
Mkuu kiukweli mm sipendi kua watu wakiwa wamekwazana. Hua inaniuma sana nikiona mtu kakwazana na mwenzake. Sipendi kumuudhi mtu na sipendi kuona watu wakikwazana. Nadhani katika swala la usuluhisho hujakosea mkuu nimeshazoea hivyo.
Kuna kaneno kwenye bibe hua nakatumia.
"Heri wapatanishi maana wataurithi ufalme wa mbinguni".
Thank you love... Sweet of you... I know exactly where to touch you and how... All over your sweet sexy body... Come to bed then.. Its already late mahondawYes I know swirly
My duty is just to hold you tight and give you a very deep sweet kiss
with my body I leave it to you upite kila kona
Wakora, mwabheja, urakoze, Thanks, Gracious, Mercie, Ahsante ChambuAsante kwa kumchana
Amefanya kazi kubwa sana Leo
Big up chambu
GOD IS GOOD ALWAYSCheers...
God is gooooooood all the time
All the time.................
Uzi umefungwa sasa kalale .Kwanini uzi ufutwe mkuu?
Kwani huonagi hivi vitoto hata kwnye nyuzi za kawaida vina shobo! Ishu ni JF imevamiwa na watoto washamba hakuna cha uzi wala nin.
Haha...yaani B. Mimi niwakulingnisha na upepo upepo sijui ni oxygen sijui carbon sijui caborn monoxide.... aseeh mimi nimejitoa tuwe majirani tu