Nichane Day

Status
Not open for further replies.

Hahaha
Nina huruma hiyo sawa
Mimi siyo mweupe na sio mweusi
Mimi sio mkimya
Kuchana nakuchana kweli
Ni mkirsto
Mademu sina huwezi amini B.
 
Nichane sasa ili nibadilike mm sikufahamu au unaniohopa
Nilikumention ku prove wrong ulichonidhania hujaona??
Mi sio wakule bana si kwa misifa mibaya ilojaa kwenye ule uzi namimi ukanijumuisha duhhhhhhhhhhh

Naanzaje kukuogopa kwa mfano!!?
Kati ya watu siwaogopi humu wewe namba moja
Nakuchana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…