Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Anaogopa huyuNichane sasa ili nibadilike mm sikufahamu au unaniohopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaogopa huyuNichane sasa ili nibadilike mm sikufahamu au unaniohopa
Nawachana warembo wa humu wote.
Acheni kulinga bwana na mnatubagua sisi wageni humu jf kazi kupenda vizee halafu sisi tunabaki watupu acheni zenu
Mzima lkni!!haya twende kazi.mengine utayarejea ya jana.
Unahuruma sana,rangi ni ya kawaid si mweupe wala mweusi,sio mkmya,ukiamua unamchana mtu laivu then unasepa,una madem kiaina,ni mkristo,,, acha niishie hapaa
Najua sindano na uzi vyote utaazima
Kwani wewe ni jike mkuuKasoro mimi tu
Hahaha
Nina huruma hiyo sawa
Mimi siyo mweupe na sio mweusi
Mimi sio mkimya
Kuchana nakuchana kweli
Ni mkirsto
Mademu sina huwezi amini B.
Usijali mkuu mwezi ujao naondoka huku mashambani nitakuja huko nipate japo dagaa wa kubadilisha mboga nikirudi huku mashambaniHaya nakupa ofa ya kuja kuzifaidi na ugali wa muhogo
Kwani we una niniKasoro mimi tu
Nilikumention ku prove wrong ulichonidhania hujaona??Nichane sasa ili nibadilike mm sikufahamu au unaniohopa
Kwani wewe ni jike mkuu
Kwani siku zote yalikuwajeNayachana live maisha kwa sababu yamekuwa tight sana
Hahaaa niliona unakipiga nikajua naww ni mmoja wao hao watani zanguNilikumention ku prove wrong ulichonidhania hujaona??
Mi sio wakule bana si kwa misifa mibaya ilojaa kwenye ule uzi namimi ukanijumuisha duhhhhhhhhhhh
Hahaha....Inamaaan nimekosea kitu kimoja tu!mi mbn mwelewa jirani nitaelewa tu
MmhHahaha
Nina huruma hiyo sawa
Mimi siyo mweupe na sio mweusi
Mimi sio mkimya
Kuchana nakuchana kweli
Ni mkirsto
Mademu sina huwezi amini B.
Kwani we una nini
Jichange uje mkuu ufaidi maisha huku na kuogelea tanganyika beach. Hope hujawahi ona ziwaUsijali mkuu mwezi ujao naondoka huku mashambani nitakuja huko nipate japo dagaa wa kubadilisha mboga nikirudi huku mashambani
Nini wewe mtoto
Daaa nimekupenda bure aiseeTeh teh teh..usije ukalichana jina langu plz![emoji12][emoji12][emoji12]mi ke kamili
Ndo lile neno la mchungaji kuwambia wana ndoa mwili mmojaHahaha....
Mimi ni wewe na wewe ni mimi.