Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc.
Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa katika timu hiyo! Hivi nani yupo nyuma ya DTB?
Kwa uwekezaji huu, DTB ataweza kupandisha timu ligi kuu?