Nasikia Madelu yupo nyuma ya hii timu
Mnyiramba huyu ana roho mbayaNasikia Madelu yupo nyuma ya hii timu
Hii timu ipo chini ya Diamond Trust Bank (DTB)
Inaitwaje
Kama ni kweli basi survivor ya hiyo timu itategemeana na cheo cha Uwaziri kama ilivyokuwa Singida United.Nasikia Madelu yupo nyuma ya hii timu
Kumbe [emoji2955]Timu ya Mawenzi Market ya Morogoro imenunuliwa na Mwigulu Nchemba, ndio hii inaitwa DTB kwa sasa.
Karibu tena Tanzania - Nicholaus Gyan
DTB ni Diamond Trust BankKlabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc.
Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa katika timu hiyo! Hivi nani yupo nyuma ya DTB?
Kwa uwekezaji huu, DTB ataweza kupandisha timu ligi kuu?
Inaitwaje hiyo kampuni??Uzuri ana kampuni ya kubeti huyu jamaa.
Inaitwaje hiyo kampuni??
Nyuma ya DTB yupo MwiguluDTB ni Diamond Trust Bank