Man-ndingo
Member
- May 16, 2021
- 14
- 34
Kaman choices zako ni hizo mbili tu,Hizi mbili Mark x na brevis zina nikosha sana sijapata wasaha wa kuichunguza crown ila naona zina tamba mjini
Bila shaka ndo wakati wake.
Vipi kwenye issue ya perfomance,stability na comfortability zina tofautiana sana??ipi ni bora zaidi
Sijawahi kuendesha Mark X ila Brevis iko poa sana kwenye stability na perfomance. Reliability sio issue. Tuliichukua gari ikiwa na 110,000km, tukakaa nayo 4 yrs bila shida kubwa. Engine haikuwahi kuguswa zaidi ya shida moja tu ya umeme ambayo ilitibiwa. Wanaosema ni kichomi labda waseme zinasumbua nini.
Mark X
Ni habari ingine kabisa.
Braves hamna kitu
Kaman choices zako ni hizo mbili tu,
Kamata Mark x yenye 4GR....
Japo kwa mtazamo wangu, Interior ya brevis nzuri sana kuliko mark x na Exterior look ya mark x ni nzuri sana kuliko Brevis..
Changamoto ya brevis injini zake hawa mafundi wetu vichomi, wataiua mara moja..
Kwa gari ulizotumia hizi napenda tu nisiwe mnafiki kuna tofauti kubwa sana utaiona katika frequency yako ya kuudhuria yale maeneo yalioandikwa ORYX, TOTAL ama PUMA! Jiandae kisaikolojia.Wajumbe habari poleni na majukumu na pilika pilika za kila siku
Nina swali kwa walio kwisha tumia Mark x na brevis napenda sana hizi gari na ninataka kuchukua moja wapo ipi ita faa ya kwendea kazini na mizunguko ya hapa na pale nimeshatumia suzuki escodo old model na starlet zote zilikuwa MT nataka ni switch kwenye luxury na AT.
Nitashukuru nikipata muongozo na ushauri kwa walio tumia gari hizi
Mafuta isiwe swala maaana wengi watasema hayo ni majini kwenye mafuta
Utamu wa gari ile mafuta sio mchemsho na machalari..[emoji1488]
Usithubutu kununua Brevis,hizo gari hua ni tatizo kubwa sana kama la Nissan Xtrail...yani Brevis inaweza kua inachemsha tu na umeitoa showroom jana au juzi,mala imepinda Cylinder head,yani ile gari sijui walikosea wapiWajumbe habari poleni na majukumu na pilika pilika za kila siku
Nina swali kwa walio kwisha tumia Mark x na brevis napenda sana hizi gari na ninataka kuchukua moja wapo ipi ita faa ya kwendea kazini na mizunguko ya hapa na pale nimeshatumia suzuki escodo old model na starlet zote zilikuwa MT nataka ni switch kwenye luxury na AT.
Nitashukuru nikipata muongozo na ushauri kwa walio tumia gari hizi
Mafuta isiwe swala maaana wengi watasema hayo ni majini kwenye mafuta
Utamu wa gari ile mafuta sio mchemsho na machalari..[emoji1488]
Kwa gari ulizotumia hizi napenda tu nisiwe mnafiki kuna tofauti kubwa sana utaiona katika frequency yako ya kuudhuria yale maeneo yalioandikwa ORYX, TOTAL ama PUMA! Jiandae kisaikolojia.
Best Choice between the two ni Mark. X
Yeah kama uko imara mfukoni hamna shakaHilo natambua comrade kwamba naenda kwenye gari zitakazo hitaji gharama zaidi kwenye utumiaji kuanzi mafuta mpka vipuri