Man-ndingo
Member
- May 16, 2021
- 14
- 34
Wajumbe habari poleni na majukumu na pilika pilika za kila siku
Nina swali kwa walio kwisha tumia Mark x na brevis napenda sana hizi gari na ninataka kuchukua moja wapo ipi ita faa ya kwendea kazini na mizunguko ya hapa na pale nimeshatumia suzuki escodo old model na starlet zote zilikuwa MT nataka ni switch kwenye luxury na AT.
Nitashukuru nikipata muongozo na ushauri kwa walio tumia gari hizi
Mafuta isiwe swala maaana wengi watasema hayo ni majini kwenye mafuta
Utamu wa gari ile mafuta sio mchemsho na machalari..[emoji1488]