Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda umo12m Japan hukosi gari, mpaka unaitoa
Kikubwa kufika tu ๐๐๐๐
Adi kinatua dar 5M haiishi, ata tra sidhani kama katakula sanaKikubwa kufika tu ๐๐๐๐
Mimi nauza magari ila nakuunga mkono 100% kwenye ukweli lazima tuseme ukweliKiongozi kama kwa maelezo yako uliyotoa bora uvumilie kidogo uchange uongeze ifike 14M chukua IST tu show room utakuwa na angalau mpaka miaka minne ya kuendesha gari bila kujuana na mafundi kama ni muendeshaji mzuri. Haya magari ya kununua kibongo bongo wengi wanauza likiwa limemshinda linaweza kukusumbua ukajuta. Na pia kwa magari haya utanunua ambalo limeshatumika kwa muda mrefu kwa Tanzania
Mm sihitaji ist yaan nachohitaji ni kupata ushauri nichukue gari ipi kati ya hizo hapo juuKiongozi kama kwa maelezo yako uliyotoa bora uvumilie kidogo uchange uongeze ifike 14M chukua IST tu show room utakuwa na angalau mpaka miaka minne ya kuendesha gari bila kujuana na mafundi kama ni muendeshaji mzuri. Haya magari ya kununua kibongo bongo wengi wanauza likiwa limemshinda linaweza kukusumbua ukajuta. Na pia kwa magari haya utanunua ambalo limeshatumika kwa muda mrefu kwa Tanzania
Premio F (1.5L) kwa 14.5M hawezi kupata labda ya mkononi.Kwa gari alizozitaja kwa budget ya 12 Mil ni ngumu
Labda ajipapase aongezeee kama 2.5 million hivi.
Achukue Premio au Voltz
โนโนโนKiautu???
Habari zenu wakuu
Nmejichanga changa nikapata milion 12 za kuvuta kausafiri, nategemea kuvuta kutoka mkononi mwa mtu. Sina hela yakuongezea kuagiza gari mpya sina uwezo huo.
ili niondokane na kero za usafiri wetu wa Dar es Salaam wa daladala.
Naomba mnishauri kati ya gari hizi ipi itanifaa.
Toyota voltz
Rav 4 old model (hii siipendi kivile)
Premio ya cc 1490
Harrier yenye engine ya 5s
Nataka kujua unafuu wa gharama za service na bei ya vipuli, yaani gari ipi kati ya hizo vipuli vyake si vya bei ghali
Katika gari hizo nilizotaja nimependa sana muundo wa toyota voltz (nahitaji kuijua zaidi hii gari.
NOTE: Nakaa sehem yenye njia mbovu mvua ikinyesha ni mtihan kupita.
Nikifanikiwa nitaleta mrejesho.
Fact kuna mwanangu aliuza IST akanunua hii gari inamtesa sana kupata spea na akizipata ni bei juu.Usije jaribu kuchukua voltz sababu uzalishaji wa gari hizo ulishasitishwa itakuja kusumbua kwenye spare na usumbufu zaidi utaupata kama utahitaji body parts
Usije jaribu kuchukua voltz sababu uzalishaji wa gari hizo ulishasitishwa itakuja kusumbua kwenye spare na usumbufu zaidi utaupata kama utahitaji body parts
Hivi hizi IST.. Crown.. Harrier.. Prado..zinazoonekana barabarani unadhani bado zinazalishwa mpaka leo!!?Fact kuna mwanangu aliuza IST akanunua hii gari inamtesa sana kupata spea na akizipata ni bei juu.
Ishu sio uzalishaji umesimama au la ishu ni zilizalishwa ngapi! Voltz ni kama limited edition hata parts manufacturers hakuna maana wanajua wahitaji ni wachache..utazipata ndio ila kipengele ni bei so choice ni yako na mfuko wako..naongea kama maskini nnae miliki IST na bro wangu anahiyo Voltz na maisha anayopitia yakuwekea hadi Tape glue sio kwamba hana hela kupata tu hata dashboard ni ishuuHivi hizi IST.. Crown.. Harrier.. Prado..zinazoonekana barabarani unadhani bado zinazalishwa mpaka leo!!?
Magari mengi sana yanayotamba huku mwetu wenyewe wajapan walishayasahau..!
Achukue Voltz tuu.. Spare dunia ni kijiji..
Habari zenu wakuu
Nmejichanga changa nikapata milion 12 za kuvuta kausafiri, nategemea kuvuta kutoka mkononi mwa mtu. Sina hela yakuongezea kuagiza gari mpya sina uwezo huo.
ili niondokane na kero za usafiri wetu wa Dar es Salaam wa daladala.
Naomba mnishauri kati ya gari hizi ipi itanifaa.
Toyota voltz
Rav 4 old model (hii siipendi kivile)
Premio ya cc 1490
Harrier yenye engine ya 5s
Nataka kujua unafuu wa gharama za service na bei ya vipuli, yaani gari ipi kati ya hizo vipuli vyake si vya bei ghali
Katika gari hizo nilizotaja nimependa sana muundo wa toyota voltz (nahitaji kuijua zaidi hii gari.
NOTE: Nakaa sehem yenye njia mbovu mvua ikinyesha ni mtihan kupita.
Nikifanikiwa nitaleta mrejesho.