Nichukue gari ipi kati ya Toyota Voltz, Harrier, Rav 4 old na Premio?

Nichukue gari ipi kati ya Toyota Voltz, Harrier, Rav 4 old na Premio?

Nlifanikiwa kununua harrier old model engine 5s.....kwa majaribio gari ilienda iringa na kurudi ...
Iko vizuri barabarani ....umasikini huu naiona kama ndege vile
Hongera sana mkuu kwa kupata ulichokihitaji. Ulipata kwa bei gani? Umemvua mtu au uliagiza? Tupe uzoefu kidogo
 
Hongera sana mkuu kwa kupata ulichokihitaji. Ulipata kwa bei gani? Umemvua mtu au uliagiza? Tupe uzoefu kidogo
Hela yangu ilikua kidogo sana mkuu sikua na uwezo wakuagizq yaan nlikua na nusu bei ya gari mpya ...ivyo nmenunua mkononi kwa mtu ....uchumi wangu bado ni mdogo sijui mwaka gani ntakua na uwezo wakuagiza
 
Usije jaribu kuchukua voltz sababu uzalishaji wa gari hizo ulishasitishwa itakuja kusumbua kwenye spare na usumbufu zaidi utaupata kama utahitaji body parts
WATU nawaona wanadrive kila siku na Resale Value yke bado ipo juu
 
Know that magari used yaliyopo hapa TZ uzalishaji ulishakoma siku nyingi. Mfano TAOYOTA VANGUARD uzalishaji ulikoma 2015.
Nakushauri nunua Toyota Voltz iko vzr. Sprares zake zinaingiliana na toyota nyingine kama Spacio, Noah, Ist(mkono wa taa). Ninayo. Iko safi.
 
Nlishachukua harrier mkuu
 
Umechukua kwa mtu au from Japan? Bei gani umevuta?
Nmenunua kwa mtu mkuu
20230827_201556.jpg
 
Waheshimiwa naomba msaada kutoka kwenu juu ya hizi gari hasa upande wa enigine kati ya ACU10W, ACU15W, ACU30W na ACU35W zinatofauti gani na ipi ni bora zaidi kwa matumiizi bongo land
aksanteni
 
Waheshimiwa naomba msaada kutoka kwenu juu ya hizi gari hasa upande wa enigine kati ya ACU10W, ACU15W, ACU30W na ACU35W zinatofauti gani na ipi ni bora zaidi kwa matumiizi bongo land
aksanteni
Acu30w na ACU35w ndo unyama sn, hapo unapata hp power kubwa, nguvu na ujipange pia wese ila kibongo bongo km unazimudu hizi engine bac unyama sn
 
Back
Top Bottom