Nichukue gari ipi kati ya Toyota Voltz, Harrier, Rav 4 old na Premio?

Mimi nauza magari ila nakuunga mkono 100% kwenye ukweli lazima tuseme ukweli
Ajichange tena akatafute ist mpya tu
Ama akaibahatishe kwa mtu bado kali
 
Mm sihitaji ist yaan nachohitaji ni kupata ushauri nichukue gari ipi kati ya hizo hapo juu
 
Kwa gari alizozitaja kwa budget ya 12 Mil ni ngumu
Labda ajipapase aongezeee kama 2.5 million hivi.
Achukue Premio au Voltz
Premio F (1.5L) kwa 14.5M hawezi kupata labda ya mkononi.
 
Chukua to premio maana imezoeleka na hata ikiwa na changamoto sio ngumu kurekebisha
 
Kama hiyo hela inanunua Harrier old model chukua hiyo hutajutia...
 
Usije jaribu kuchukua voltz sababu uzalishaji wa gari hizo ulishasitishwa itakuja kusumbua kwenye spare na usumbufu zaidi utaupata kama utahitaji body parts
 
Kwanza hongera kwa kujichanga na kufikisha hicho kiasi! Naomba nikushauri kitu kama ni mpambanaji pambana uongeze pesa uchukue Toyota voltz toka japani yenye 4WD ni gari nzuri spare zipo nyingi tu licha ya uzalishaji wake kusimama nimeitumia huu ni mwaka wa 6 na chuka iko vizuri kabisa.ila usinunue mkononi kwa mtu ni bora ukanunua hata Raum maana gari za mikononi ni majanga sana labda ununue kwa ndugu yako ama rafiki anaeweza kukueleza ukweli wa gari mpaka anapoiuza
 
Jamaa mmoja alisema "if you cannot buy it twice, you cannot afford it" nunua vitz old model 990cc japo haipo kwene list otherwise endelea kujichanga Zaid
 
Usije jaribu kuchukua voltz sababu uzalishaji wa gari hizo ulishasitishwa itakuja kusumbua kwenye spare na usumbufu zaidi utaupata kama utahitaji body parts
Fact kuna mwanangu aliuza IST akanunua hii gari inamtesa sana kupata spea na akizipata ni bei juu.
 
Hivi hizi IST.. Crown.. Harrier.. Prado..zinazoonekana barabarani unadhani bado zinazalishwa mpaka leo!!?
Magari mengi sana yanayotamba huku mwetu wenyewe wajapan walishayasahau..!
Achukue Voltz tuu.. Spare dunia ni kijiji..
 
Ishu sio uzalishaji umesimama au la ishu ni zilizalishwa ngapi! Voltz ni kama limited edition hata parts manufacturers hakuna maana wanajua wahitaji ni wachache..utazipata ndio ila kipengele ni bei so choice ni yako na mfuko wako..naongea kama maskini nnae miliki IST na bro wangu anahiyo Voltz na maisha anayopitia yakuwekea hadi Tape glue sio kwamba hana hela kupata tu hata dashboard ni ishuu
 
Chukua Harrier Old model , achana na voltz
 
Sawa ndugu nimekuelewa vyema km hutojal ongeza kwenye list yako hapo kuna gari inaitwa Mitsubish Outlander kwa Bajet yako 12M unaweza kumvua mtu.

Gar ipo vizur ipo juu hivyo kwenye njia mbovu kama ulivyosema unakatiza vizur tuh bila shida yeyote ile.

Spare kibao ndio gar ambayo hivi sasa ipo kwenye Peak Vijana wananunua sana tuh km zilivyo Subaru Forester.

Kiufup ni gar Nzur sana na pia ina Seat 7 wewe na familia one time mnaweza kutoka out au ukitaka unalaza sit boot inakuwa kubwa unapakia mzigo wa kutosha..
Huku ukiwa na sit 5 zako zimekaa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…