Hongera sana mkuu kwa kupata ulichokihitaji. Ulipata kwa bei gani? Umemvua mtu au uliagiza? Tupe uzoefu kidogoNlifanikiwa kununua harrier old model engine 5s.....kwa majaribio gari ilienda iringa na kurudi ...
Iko vizuri barabarani ....umasikini huu naiona kama ndege vile
Hela yangu ilikua kidogo sana mkuu sikua na uwezo wakuagizq yaan nlikua na nusu bei ya gari mpya ...ivyo nmenunua mkononi kwa mtu ....uchumi wangu bado ni mdogo sijui mwaka gani ntakua na uwezo wakuagizaHongera sana mkuu kwa kupata ulichokihitaji. Ulipata kwa bei gani? Umemvua mtu au uliagiza? Tupe uzoefu kidogo
Hongera mkuu saiv tudem tweupe utakula sasaNlifanikiwa kununua harrier old model engine 5s.....kwa majaribio gari ilienda iringa na kurudi ...
Iko vizuri barabarani ....umasikini huu naiona kama ndege vile
Kma ndio malengo yako hayo utapata gari bovu wweHongera mkuu saiv tudem tweupe utakula sasa
Na mimi nijichange nipate ulimbo
Sheenz
WATU nawaona wanadrive kila siku na Resale Value yke bado ipo juuUsije jaribu kuchukua voltz sababu uzalishaji wa gari hizo ulishasitishwa itakuja kusumbua kwenye spare na usumbufu zaidi utaupata kama utahitaji body parts
Ushuru unasimaje
Nlishachukua harrier mkuuKnow that magari used yaliyopo hapa TZ uzalishaji ulishakoma siku nyingi. Mfano TAOYOTA VANGUARD uzalishaji ulikoma 2015.
Nakushauri nunua Toyota Voltz iko vzr. Sprares zake zinaingiliana na toyota nyingine kama Spacio, Noah, Ist(mkono wa taa). Ninayo. Iko safi.
Polee mkuu na hongeraMimi mwanamke mkuu sio mwanaume
Umechukua kwa mtu au from Japan? Bei gani umevuta?Nlishachukua harrier mkuu
hongera mkuu.Nmenunua kwa mtu mkuu View attachment 2732276
Vipi mafuta inatumiaje? Ni Cc ngapi?Nmenunua kwa mtu mkuu View attachment 2732276
Acu30w na ACU35w ndo unyama sn, hapo unapata hp power kubwa, nguvu na ujipange pia wese ila kibongo bongo km unazimudu hizi engine bac unyama sn