Nichukue hatua gani za kisheria dhidi ya benki ya CRDB?

Yaani laki 1 unakwenda kuweka benki?

Nyie ndio wale mnaojaza mafoleni kwenye mabenki wakati wa kuweka pesa na kwenye ATM Machine wakati wa kutoa pesa!
 
Itarudi ....mfumo wa Sim Banking unaweza kugombana na watu kumbe kweli haijaenda, jumatatu nilituma pesa kwenda NMB haikufika, niliangalia statement nikakuta hela imekatwa, kuna kodi ya serikali na tozo na Bank charge ya shilingi elfu 10, sasa jana imeingia msg kwamba nimekua refunded lakini sina hakika kama tozo zote zimerudi au ndio wanataka nifanye transfer tena wakate makato mengine !!
 

kwa sasa kuliko utoe pesa bank kwenda mitandao ya simu,ni bora uziache huko huko bank,kutoa laki mbili makato ni zaidi ya elfu 7.bado hujakutana na wahusika wa simu inakoingia mpaka uishike mkononi.
 
Mkuuu CRDB ni wezi sana sana sana me sa hv sijisumbui nao kwanza waliniibia wakaniibia.......haya juzi usiku Sina hata mia nkasema niende nkatoe ka pesa kangu kanisukume mambo ya chakula siku mbili tatu muda huo nmetembea kutokea nyumbani hadi kwa wakala sikuamini macho yangu ..... Isingekua kumpgia mama sim ningelala njaa
 
CRDB ni wezi sana siku hizi,yaani account haujafanya chochote lakini unakuja kukuta elfu30 imekwenda au ndio tunalipia jengo jipya lenu makao makuu Palm Beach?
 
Ulikuta nini?
 

Wapuuzi sana ukiacha hela wanailamba na ukienda kuuliza wanakwambia fees ,kuna siku nilitoa hela nikaangalia salio lililobaki nikascreeshot nikaisave ,kesho yake nakuta wameiba laki nzima ,nikawaendea hewani wakasema itarudi ndani ya saa 24 wakaja kuirudisha means nisingepiga simu "WANGENYOOKA NAYO".
 
Unavyolalamikia bei ya vyakula serikali ina shamba? Kwanini hujajilimia, siasa ya ujamaa imewaharibu sana. Amka usingizini hata kilo ikifika 5000 ni wajibu wako,
 
Kimei alikuwa jembe aiseee..saiv CRDB malalamiko mengi toka huyu mkurugenzi mpya aingie...huyu mkurugenzi kazi yake kuzurura na kupiga self tu hashindi ofisini kutatua kero. Mimi hiyo benki nilihama kitambo Sana kutokana na changamoto zake kibao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ulikuta nini?
Depal acha kabisa da angu yani mim ni wa kukuta elf 5.....nkawapigia Simi muda mrefu matangazo yenyewe sielewi asubui nadamka hadi ofisini kwao hizo ramani nilizochorewa🙆🙆🙆nkamwambia hiyo mdada sawa sio mbaya mmepoteza mteja muaminifu **** nyie nkaondoka
 
CRDB hakuna kitu mkuu MATAPELI wakubwa
 
Mkuu unalosema ni kweli ila hapo kwenye labda anayohandle huduna zao labda ni kampuni nyingine hilo halimhusu mteja maana mteja mkataba alionao ni baina yake na CRDB, hayo ya sijui nani anahandle nini hayo hayamhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…