Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwanza umetenga bajet ya shi ngapi kwa sababu pikipiki zina bei tofaut tofautJamani wajuzi wa hizi pikipiki naomba msaada wenu
NB: sio Kwa ajili ya bodaboda, ni ya kutembelea tuu
Boxer 125 nyeusi
Chukua tvs ndo reliable kuliko boxer, mashine ya tvs imetengenezwa vizuri kuifanya idumu zaidi..hapa nazungumzia mfumo wa uzungushaji wa oil ipo vizuri kwakua tvs ina oil pump inayosambaza oil kwenye parts zote za injini kwa pressure sawa(even pressure) tofauti na boxer inayotumia slapping mechanism and centrifugal kusambaza oil kwenye block..matokeo yake sasa hata upozwaji injini ya tvs unakua more efficient kuliko wa boxer...kutokana na haya nilio elezea hapo juu ndo maana boxer inawahi kufa mashine kuliko tvs..Jamani wajuzi wa hizi pikipiki naomba msaada wenu
NB: sio Kwa ajili ya bodaboda, ni ya kutembelea tuu
Aah watu wote wanakufa na pikipiki wenye vits hawafi?? Kuna mtoto wa miaka mitatu kafa leo ila sio na pikipiki....Million 2.5 bora uendelee kujichanga ununue hata Vitz spana mkononi ... pikipiki itakupeleka ahera mapema..
Ni ushauri tuu hata mini nilishariwa hivyohivyo alienishauri namshukuru hadi leo 🙏Aah watu wote wanakufa na pikipiki wenye vits hawafi?? Kuna mtoto wa miaka mitatu kafa leo ila sio na pikipiki....
😂😂😂nunu kipikipiki cha kuchaji. 😁
nimeendesha zote, TVS ina sauti ya bass kuliko boxer, pia kwenye kuchemka TVS injini yake inachemka haraka kuliko boxer, ila boxer inahitaji kubadilishiwa oil filter mara kwa maraChukua tvs ndo reliable kuliko boxer, mashine ya tvs imetengenezwa vizuri kuifanya idumu zaidi..hapa nazungumzia mfumo wa uzungushaji wa oil ipo vizuri kwakua tvs ina oil pump inayosambaza oil kwenye parts zote za injini kwa pressure sawa(even pressure) tofauti na boxer inayotumia slapping mechanism and centrifugal kusambaza oil kwenye block..matokeo yake sasa hata upozwaji injini ya tvs unakua more efficient kuliko wa boxer...kutokana na haya nilio elezea hapo juu ndo maana boxer inawahi kufa mashine kuliko tvs..
Tvs ina ina exhaust pipe iliyotengenezwa vizuri ku cancel engine sound resonance frequencies na kufanya na iwe na very smooth sound kuliko boxer, so kwakua wataka kutembelea tvs ni nzuri kwakua haina kelele kama boxer..
Frame/chassis ya tvs ni nzuri kuliko boxer
Indicator za tvs zinashikiliwa flexible rubber inayofanya hata ukianguka basi indicator zisivinjike kutoka kwenye mkono wake na pia lakini pia zisilegee unapopita kwenye barabara mbaya, tofauti na boxer.
Asante...
chukua bm nyeusiJamani wajuzi wa hizi pikipiki naomba msaada wenu
NB: sio Kwa ajili ya bodaboda, ni ya kutembelea tuu
Filter inabadilishwa baada ya km ngapi mtaalam?nimeendesha zote, TVS ina sauti ya bass kuliko boxer, pia kwenye kuchemka TVS injini yake inachemka haraka kuliko boxer, ila boxer inahitaji kubadilishiwa oil filter mara kwa mara
Nina swali mujamaa. Nataka safiri na bm 150 toka dodoma kwenda mwanza. Itatoboa kweli? Na je nitahitaji kubadilisha oil katikati ya safari?Chukua tvs ndo reliable kuliko boxer, mashine ya tvs imetengenezwa vizuri kuifanya idumu zaidi..hapa nazungumzia mfumo wa uzungushaji wa oil ipo vizuri kwakua tvs ina oil pump inayosambaza oil kwenye parts zote za injini kwa pressure sawa(even pressure) tofauti na boxer inayotumia slapping mechanism and centrifugal kusambaza oil kwenye block..matokeo yake sasa hata upozwaji injini ya tvs unakua more efficient kuliko wa boxer...kutokana na haya nilio elezea hapo juu ndo maana boxer inawahi kufa mashine kuliko tvs..
Tvs ina ina exhaust pipe iliyotengenezwa vizuri ku cancel engine sound resonance frequencies na kufanya na iwe na very smooth sound kuliko boxer, so kwakua wataka kutembelea tvs ni nzuri kwakua haina kelele kama boxer..
Frame/chassis ya tvs ni nzuri kuliko boxer
Indicator za tvs zinashikiliwa flexible rubber inayofanya hata ukianguka basi indicator zisivinjike kutoka kwenye mkono wake na pia lakini pia zisilegee unapopita kwenye barabara mbaya, tofauti na boxer.
Asante...
Ukibadirisha Dom unatoboa Mwanza.Nina swali mujamaa. Nataka safiri na bm 150 toka dodoma kwenda mwanza. Itatoboa kweli? Na je nitahitaji kubadilisha oil katikati ya safari?
Bila shaka wewe ni wakala wa TvsChukua tvs ndo reliable kuliko boxer, mashine ya tvs imetengenezwa vizuri kuifanya idumu zaidi..hapa nazungumzia mfumo wa uzungushaji wa oil ipo vizuri kwakua tvs ina oil pump inayosambaza oil kwenye parts zote za injini kwa pressure sawa(even pressure) tofauti na boxer inayotumia slapping mechanism and centrifugal kusambaza oil kwenye block..matokeo yake sasa hata upozwaji injini ya tvs unakua more efficient kuliko wa boxer...kutokana na haya nilio elezea hapo juu ndo maana boxer inawahi kufa mashine kuliko tvs..