Unajidanganya broWarembo 300 hukosi ngwengwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajidanganya broWarembo 300 hukosi ngwengwe
Mtalaam, inakuwaje boxer 150 mara engine inakuwa na mlio mhubwa mara mlio uliokuwa smooth yaani kama ume hit ile sweet spot kitu kimetulia u a cruize tuu?Unafika vizuri ila utafika tofauti na muda uliopanga
Hazard haijawekwa kwenye boxer, ila unaweza ongeza mwenyewe ikawa inapiga hazard fresh kabisaMtalaam, inakuwaje boxer 150 mara engine inakuwa na mlio mhubwa mara mlio uliokuwa smooth yaani kama ume hit ile sweet spot kitu kimetulia u a cruize tuu?
Jengiine hivi unawashaje harzards kwenye boxer?
Kwa nini fuel gauge inasoma juu zaidi wakati pikipiki umeiwasha tuu na baadae gauge kushuka kidodo ukiwa upo kwenye misele
Hatakuelewa mpaka limkute jambo jamaa yangu nilimshauri sana now anatembelea magongo kawa chibaNi ushauri tuu hata mini nilishariwa hivyohivyo alienishauri namshukuru hadi leo 🙏
Mimi kama mlevi wa pikipiki ndogo sina cha kukupinga. Ila kwa mbio atampisha boxer.Chukua tvs ndo reliable kuliko boxer, mashine ya tvs imetengenezwa vizuri kuifanya idumu zaidi..hapa nazungumzia mfumo wa uzungushaji wa oil ipo vizuri kwakua tvs ina oil pump inayosambaza oil kwenye parts zote za injini kwa pressure sawa(even pressure) tofauti na boxer inayotumia slapping mechanism and centrifugal kusambaza oil kwenye block..matokeo yake sasa hata upozwaji injini ya tvs unakua more efficient kuliko wa boxer...kutokana na haya nilio elezea hapo juu ndo maana boxer inawahi kufa mashine kuliko tvs..
Tvs ina ina exhaust pipe iliyotengenezwa vizuri ku cancel engine sound resonance frequencies na kufanya na iwe na very smooth sound kuliko boxer, so kwakua wataka kutembelea tvs ni nzuri kwakua haina kelele kama boxer..
Frame/chassis ya tvs ni nzuri kuliko boxer
Indicator za tvs zinashikiliwa flexible rubber inayofanya hata ukianguka basi indicator zisivinjike kutoka kwenye mkono wake na pia lakini pia zisilegee unapopita kwenye barabara mbaya, tofauti na boxer.
Asante...
Acheni kutisha watu. Ninatembelea pikipiki tangu 2003. Nidhamu na kuzingatia sheria ndio ngao ya huo woga wako.Million 2.5 bora uendelee kujichanga ununue hata Vitz spana mkononi ... pikipiki itakupeleka ahera mapema..
Nimekubaliana na mchangiaji aliyechambua mzunguko wa oil lakini kama mtoa mada hatajali, boxet ni bora ISIPOKUWA achague halisi/original na awe mzingatiaji. Boxer haihitaji subiri nijichange. Ji delicated sana kwa vijitatizo vidogo-hazna uvumilivu kama ukoo wa kinglion, san/sun lag and co.nimeendesha zote, TVS ina sauti ya bass kuliko boxer, pia kwenye kuchemka TVS injini yake inachemka haraka kuliko boxer, ila boxer inahitaji kubadilishiwa oil filter mara kwa mara
Mungu azidi kukubarikiAcheni kutisha watu. Ninatembelea pikipiki tangu 2003. Nidhamu na kuzingatia sheria ndio ngao ya huo woga wako.
Ok.Kuna jamaa aliendesha pikipiki mwanza mpaka Dar, puru likatoka njiani. Ikabidi aende Hosptal kulirudisha
Ndo hilo hilo 😄😄😄😆Ok.
Wait... PURU ndio nini? Nduku au?
Mpuuzi sana huyu jamaaOk.
Wait... PURU ndio nini? Nduku au?