Nichukue ipi Kati ya TVS 150, 125 na BOXER BM 150, 125 au Hunter Hero

Nichukue ipi Kati ya TVS 150, 125 na BOXER BM 150, 125 au Hunter Hero

Ikikushinda TVs boxer nunua hyo bei pia iko normal inafaa kwa matembezi achana na matvs boxer cjui bora ununue hyo chip tuu hela ya boxer bora ununue vitz kuna MTU alisema juu apo namuunga
Screenshot_2022-08-25-11-21-50~2.png
 
Ukibadirisha Dom unatoboa Mwanza.

Hapo mchawi sio pikipiki ila wewe ndio utachoka sana.

Kwakua Dom to Mwz kilometa 680, na wewe unataka kusafiri kwa siku ngapi? Moja au mbili?

Ila nashauri kila baada ya kilometa 100 pumzika ata dakika 10-30 itakusaidia.

Mi nilipata safari na watoto wa Kihindi kutoka Dar hadi Lushoto kwa bike (sema ilikua kubwa CBR 650), kabla ya safari nikasema nijipime upepo.

Nikaenda B/Moyo na kurudi fresh. Nikaja nikaenda tena Bagamoyo nikazunguka Msata, Chalinze Mlandizi hafu Dar. Aisee ni shida. Nilishindwa. Safari ndefu pikipiki unachoka sana sana sana usipokua makini.

Kwahiyo ushauri wa kwanza ni about wewe utaweza? Sio pikipiki.
Eh kwa hiyo unataka niambia dodoma to mwanza siwezi piga in one day?
 
inategemea na matumizi, kama binafsi walau baada ya miezi mi tatu, na inauzwa kati ya elfu 4 na 5 original
 
Chukua boxer mkuu, ina mvuto tofauti na Tvs, ila pata mpya then ijali kwa kubadili oil frequently na pia umpate fundi anaeweza kucheza na timing chain maan zikianzaga kusumbua mafundi awachelewag kusema tubadili engine.
 
nunua mrembo BMBM 125 jali oil na filter afu consumption ya mafuta iko poa sana kuliko BM 150
 
Kama km 70
Utaweza ila utapiga 120 kisha break. Uta break mara tano hivi na nashauri unywe sana maji aisee ndio cha msingi.

Ila ni nyingi sana izo mzee. Angalau ingekua cc300 kwenda juu.
 
Utaweza ila utapiga 120 kisha break. Uta break mara tano hivi na nashauri unywe sana maji aisee ndio cha msingi.

Ila ni nyingi sana izo mzee. Angalau ingekua cc300 kwenda juu.
Nimewahi piga km120 kwa Boxer 150, km 85 ilikua rough road, niliinjoy km za rough road kuliko lami, ila kuchoka sasa🥲🥲🥲
 
Ukibadirisha Dom unatoboa Mwanza.

Hapo mchawi sio pikipiki ila wewe ndio utachoka sana.

Kwakua Dom to Mwz kilometa 680, na wewe unataka kusafiri kwa siku ngapi? Moja au mbili?

Ila nashauri kila baada ya kilometa 100 pumzika ata dakika 10-30 itakusaidia.

Mi nilipata safari na watoto wa Kihindi kutoka Dar hadi Lushoto kwa bike (sema ilikua kubwa CBR 650), kabla ya safari nikasema nijipime upepo.

Nikaenda B/Moyo na kurudi fresh. Nikaja nikaenda tena Bagamoyo nikazunguka Msata, Chalinze Mlandizi hafu Dar. Aisee ni shida. Nilishindwa. Safari ndefu pikipiki unachoka sana sana sana usipokua makini.

Kwahiyo ushauri wa kwanza ni about wewe utaweza? Sio pikipiki.
mzabzab Boxer,tvs hazijatengenezwa kwa safari ndefu kifupi utapata mateso sana niliwahi kwenda mtwara na boxer kutokea dar huwezi amini nilichoka mno ikabidi nisubiri Lori ya mizigo nikaipandisha humo mpaka mtwara.
Trip ya pili nilikuwa nampelekea bro big bike ilikuwa bmw gs1250 mwanza,nimetoka dar 05:00am dom nimefika 9am nilikuwa sijachoka hata kidogo mpaka naingia mwanza nipo fit kabisa.
Hizi boxer ni kwa safari za hapa na pale comfortable ni zero, stability ni zero swala kuanguka ni dk zero, handling zero
 
mzabzab Boxer,tvs hazijatengenezwa kwa safari ndefu kifupi utapata mateso sana niliwahi kwenda mtwara na boxer kutokea dar huwezi amini nilichoka mno ikabidi nisubiri Lori ya mizigo nikaipandisha humo mpaka mtwara.
Trip ya pili nilikuwa nampelekea bro big bike ilikuwa bmw gs1250 mwanza,nimetoka dar 05:00am dom nimefika 9am nilikuwa sijachoka hata kidogo mpaka naingia mwanza nipo fit kabisa
So auala ni mie kuchoka ila sio kwamba mashine haiwezi kufika
 
Back
Top Bottom