Nichukue IST au Belta?

Nichukue IST au Belta?

Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.

Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi?

Natanguliza shukrani[emoji1545]
Hello Jerry, mambo. Karibu Kwa ushauri Zaid khs gari unayotak kuagiza.. naitwa cecylia ni agent natoa magari Bandarin na kukuagizia pia.. 0764423726 Kwa mawasiliano zaidi
 
Niliambiwa huku IST sio hata gari ya kuiombea ushauri au kujiuliza kununua au usinunue, nikaambiwa kabisa kua ni gari za taifa hivyo kama pesa ipo just go for it...

Huku wanasema njoo uombe ushauri kwa gari kama Range, Chevrolet, Audi, Mercedes Benz, Renault, Honda, Hyundai, Lamborghini, Ferrari, Maserati, RAM, Volkswagen, KIA, Ford n.k
 
Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.

Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi?

Natanguliza shukrani[emoji1545]
Ongeza hela kidogo chukua premio
 
Back
Top Bottom