Hello Jerry, mambo. Karibu Kwa ushauri Zaid khs gari unayotak kuagiza.. naitwa cecylia ni agent natoa magari Bandarin na kukuagizia pia.. 0764423726 Kwa mawasiliano zaidiWakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.
Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi?
Natanguliza shukrani[emoji1545]