TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
- Thread starter
-
- #21
Nani kakuambia haina
ajira?
Tukirudi kwenye mada.PCM ina wigo mpana zaidi wa kusomea fani nyingi
kuliko PCB.Unaweza somea engineering yoyote,Computer Science au masomo
ya biashara kwa urahisi zaidi na mengineyo.Kwa ushauri wangu soma
PCM.
Hapo kwenye red pana husika,japo binafsi nilisoma EGM.
Ngoja walio soma hizo kozi waje hapa watupe vitu.
Kasome PCB uje uwe medical doctor!
Siyo kweli PCB wigo kuliko PCM as long as umefauri vizuri maana unaweza soma hadi baadhi ya kozi za engineer lakin PCM huwezi soma kozi yoyote inayohusiana na PCBNani kakuambia haina ajira?
Tukirudi kwenye mada.PCM ina wigo mpana zaidi wa kusomea fani nyingi kuliko PCB.Unaweza somea engineering yoyote,Computer Science au masomo ya biashara kwa urahisi zaidi na mengineyo.Kwa ushauri wangu soma PCM.
Sawa bana kubaSiyo kweli PCB wigo kuliko PCM as long as umefauri vizuri maana unaweza soma hadi baadhi ya kozi za engineer lakin PCM huwezi soma kozi yoyote inayohusiana na PCB
Nimemaliza kidato cha nne hapo mwaka jana.
Ninapenda sana kuchukua PCM, But kwa uelewa wangu mdogo na maoni ya baadhi ya watu inasemekana kwamba PCM Haina ajira serikalini unless kwenye makampuni binafsi (ambako kuna nepotism)... Kama kuna ajira zaidi ya hizo nijulishe tafadhali.
HILI LINANIKATISHA TAMAA SANA NA KUNIFANYA NIHISI KWAMBA NIKISOMA PCM SIPATI AJIRA TOFAUTI NA UALIMU.
Kwa upande wa PCB, INASEMEKANA kuwa kuna ajira za moja kwa moja serikalini ama kwa kujiajili mwenyewe. Na mimi ninasoma ili nipate ajira niweze kujitegemea.
MAONI YAKO NDIYO YATAKAYONIFANYA NIWE NA MAAMUZI MAZURI.
Natanguliza shukrani zangu kwa mtakao nishauri...
Karibuni kwa ushauri....
ili kuondoa dialemma uliyonayo nakushauri ukasome biomedical engeneering ili uje kujiajiri!
kwani umeshapangiwa shule?halafu ujue combination zimeongezwa.
unajua inakua ngumu kidogo kukushauri maana ni vigum kuelewa na pia hujasema nini passion yako....nini unapenda!!! hapa ni lazima ujue hizi ni combi tu na kuwa dr au engineer ni lazima ufaulu fom6!!!Nimemaliza kidato cha nne hapo mwaka jana.
Ninapenda sana kuchukua PCM, But kwa uelewa wangu mdogo na maoni ya baadhi ya watu inasemekana kwamba PCM Haina ajira serikalini unless kwenye makampuni binafsi (ambako kuna nepotism)... Kama kuna ajira zaidi ya hizo nijulishe tafadhali.
HILI LINANIKATISHA TAMAA SANA NA KUNIFANYA NIHISI KWAMBA NIKISOMA PCM SIPATI AJIRA TOFAUTI NA UALIMU.
Kwa upande wa PCB, INASEMEKANA kuwa kuna ajira za moja kwa moja serikalini ama kwa kujiajili mwenyewe. Na mimi ninasoma ili nipate ajira niweze kujitegemea.
MAONI YAKO NDIYO YATAKAYONIFANYA NIWE NA MAAMUZI MAZURI.
Natanguliza shukrani zangu kwa mtakao nishauri...
Karibuni kwa ushauri....
hapo sawa lakini wasiwasi wangu ni kwamba nitaajiliwa wapi na hiyo engineering yangu...?
Kupangiwa shule na combination siyo tabu, kwani ukishafika shule Academic master wako atawapa muda wa kubadili comb.
Kuhusu uchaguzi wa comb. Malidhio na Haja ya moyo wako ndiyo jibu tosha kwani ninaamini unamalengo yako,na unaujua vyema uwezo wa akili yako juu ya masomo utakayo yachagua.
9ctme.