Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

KWAHIYO MEMAIND AU? ACHENI KUPIGA MAYOE KILA MTU ANA UHURU WAKE. HUMU KUNA WATU HUWA WANAKASHIFU IMANI ZA WENZAO. ETIKUFUNGA NI KUBADILI RATIBA YA KULA
 

Assuming kwamba tunakubaliana na mawazo ya Nikki kwamba si kweli kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa ni mwanaume, means binadamu wa kwanza kuumbwa atakuwa mwanamke.

Now, sidhani kama inatosha kusema eti sababu kubwa ya hilo swala ni kwa vile mwanaume ndiye aliyeandika Biblia.

Nadhani hapa tunaweza kuwa na mjadala mrefu kutokana na hiyo kauli:-

- Kwamba biblia inasema uongo
- Kwamba hakuna kitu uumbaji (ni myth)
- Uumbaji upo ila mwanamke ndiye top

Ili kuweza kupunguza upana wa mjadala, nipe mtazamo wako kwa hizo points hapo juu, unachagua ipi ili tuijadili kwa kubase hapo.
 
Hoja za kizembe sana hizi....kwa hiyo hata kwenye sala inayoanzia na baba yetu....uliyembinguni!!....ni mfumo dume ndio ume-influence hii kitu!!?
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Jamaa anajiona yupo mbali kichizi...maana akicheki wasanii wenzake waliomzunguka...wengi hata form four hawajafika...kwa hiyo anajisahau.... anajiona yupo juu kweli kumbe kiazi mbatata tupu...
 
Biblia ipo hivi

Katika stage mbalimbali za kustaarabika mwanadamu, jamii zilizokua zimestaarabika sana kipindi hicho, wakaona kulikuwa na haja ya kuwa na kitabu/ muongozo ambao utakua unaelezea chanzo cha maisha hapa Duniani na pia kitoe muongozo wa namna ya binadamu wanapaswa kuishi kwa pamoja ili kuleta ustaarabu na fairness

Kwa kifupi ni kuwa Biblia ni kama Katiba ya nchi na Encyclopedia ya mwanadamu wa enzi hizo zikawa combined kwenye kitabu kimoja.

Ni kama Quran pia, ambayo Waislam wanaiona kama ndio kitabu chenye sheria na miongozo yote na elimu yote ya Dunia viko combined

So Biblia kwa kipindi kile ilikuwa sahihi na ilidumu kwa kipindi kirefu sana

Ndipo ikaja enzi nyingine hizi ambapo ugunduzi ulifanyika, elimu ikapanuka mara dufu na dufu ikahitaji mabilioni ya vitabu kuiandika, sheria nyingine zikatungwa kuhusu mambo mbalimbali na mahitaji ya Dunia kwa sasa, na sheria za kwenye Biblia hazitumiki tena na Dini na serikali vimetanganishwa

Maswala ya Mungu na Uumbaji mwenyewe sijafikia kwenye conclusion bado, ila naweza kukuambia ule uumbaji ulioelezewa kwenye Biblia ni kutokana na mwanadamu wa enzi hizo kujaribu kuelezea chanzo cha maisha kwa uelewa wake aliokuwa nao, na mimi siukubali.

Chanzo cha maisha ni kitu complex na cha mjadala sana, na kila nadharia inayojaribu kuelezea, including hiyo ya uumbaji ina mapungufu yake

Kuhusu mwanamke na mwanaume, ni kuwa, mwanaume yupo aggresive, tolerant, powerful, intelligent kuliko mwanamke, hii haitokani na mfumo dume bali maumbile ndio maana na ndio maana ameweza kuwa juu ya mwanamke kwa karne nyingi. Japo kuna baadhi ya sehemu chache mfumo dume unampa favour zaidi

Ni kama Mzungu na Muafrika, Mzungu yupo aggresive na intelligent kuliko muafrika ndio maana yupo juu yake, ila kuna wakati mwingine mzungu anakuaa favoured na kuonekana bora sababu ameshazoeleka yeye ndio bora zaidi
 
Wabongo bana kwa kupigania vitu visivyo vya maana....kijitabu chenyewe kimeandikwa na mtu ka wew hapo afu mwenzako akikikosoa unatokwa na mapovuuuu.....mwacheni Nick atoe mawazo yako ka vile wew ulivyona haki ya kutoa yako....kumuattack Nick ni sawa na kutaka kila mtu awaze kama wewe huku duniani haiwezekani mkuu....
 

Huo nao ushamba
 
Kwani Ana hela???
 
Huyu Nick ngoja aoe kwanza maana ni mtoto sana. Atakapo oa halafu mkewe akiwa kichwa cha nyumba ndio atajua Biblia iliandikwa na Mwanadamu kwa uongozi wa Roho Mtakatifu
 
Simjui huyo mtu, ila sijaelewa kulikuwa na uhusiano gani kati ya kuvalishana pete na kutoa risala/ mawaidha juu ya Muumba?
 

Okay, kuhusu biblia kuwa kama ilivyo naweza kuielewa point yako (ni very reasonable).

Kuhusu katiba za nchi, serikali kujitenga na dini naweza kuwa upande wako pia.

Point yetu ilikuwa ni kuhusu uumbaji, kwamba mwanaume siyo MTU wa kwanza kuumbwa, impliedly inakuwa kwamba mwanamke ndiye wa kwanza kuumbwa.

Kwa vile umesema hujafika conclusion naomba nisiendelee na hili.

Mtazamo wangu juu ya kauli ya Nikki, nafikiri Nikki alitaka kutueleza kwamba kwenye uumbaji au huko mwanzo mtu mwenye mamlaka zaidi alikuwa ni mwanamke, hivyo mwanaume kwa kutumia aggressiveness yake akamnyanganya mamlaka hayo na akaweka maandishi kama sheria ambazo zilizidi kumkandamiza zaidi mwanamke. Hii ni concept ya Da Vinci Code, issues za Mary Magdalene na Holy Grail, kwamba yeye ndiye aliyeachiwa mamlaka ya kuwa muhimili wa kanisa and so and so.

Ninahisi hicho ndicho alichotaka kutuambia, ila ni kitu kigumu sana kukielezea, maana hakuna supporting evidence ya mambo hayo, hakuna supporting evidence ya kwamba mambo hayako hivyo nk. Tunaishia kuambiwa tuamini.
 
huyu Nik2 ndiye nani.!? ni mvulana au msichana.!?

wekeni hata picha yake.Anafanya kazi gani.!?
 
Jamaa naona hiyo kauli ya 'mwanamke kutolewa ubavuni kwa mwanaume' ndio anayoitilia shaka, sio kuwa wa kwanza au wa pili. Angekuwa wa pili ila akaumbwa kama mwanaume alivyoumbwa na sio kutolewa kwenye ubavu wake, lisingeonekana la kumdunisha mwanamke

Mwanamke kutolewa kwenye ubavu wa mwanaume ni kama kumdunisha sana, ina imply yeye ni sehemu ndogo tu ya mwanaume..


Sijawahi kusoma kuhusu hiyo Holy Grail, ila naona mwanaume kuwa dominant lipo natural tu tangia kitambo

Sababu ukiangalia hata kwa wanyama ambao wapo social, wa kiume ndio anakuwa dominant, sababu ya ukubwa wao, uwezo wao wa kupigana na adui au washindani, uwezo wao wa kuhimili magumu, na ujasiri wao, vile vile ina apply kwa wanadamu pia

So sidhani kama kuna mageuzi yoyote yaliyofanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…