Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
- Thread starter
- #61
ππππππππππNchi nzima yeye ndio ana masters ya sociology
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππNchi nzima yeye ndio ana masters ya sociology
Nikki wa Pili alisema imeandikwa kuwa mwanaume aliumbwa kwanza na mwanamke akatolewa kwenye ubavu wake kwa sababu ni wanaume ndio waliandika Bible hivyo wakajiweka juu
Binadamu kuumbwa au kutokuumbwa ni suala la imani, na imani sio fact maana kuna wanaoamini tofauti, wengine hawaamini kabisa, na wana sababu zao pia. Hivyo huwezi kusema Nikki yupo sahihi ama sio sahii kuhusu mwanadamu wa kwanza
Ila yupo sahihi kuwa Biblia iliandikwa na wanaume
Biblia sio kitabu kilichoshuka Mbinguni, ni kitabu kilichoandikwa na wanadamu, na hao wanadamu ni wanaume au ni wanaume almost wote.
Biblia ndio ilikuwa kama katiba miaka hiyo, manabii wote walikuwa wanaume na waandishi walikuwa wanaume pia.
Miaka hiyo mwanamke alikuwa mtu wa kutunza familia tu, japo kuna exception chache
π π π π ,jamaa muda mwingi kazungukwa na wakimbia umande hivyo lazima ajione kichwa.ana kamasters ka development studies toka hapo udsm,sasa sijui angekua na masters ya medicine ingekuaje!
Hoja za kizembe sana hizi....kwa hiyo hata kwenye sala inayoanzia na baba yetu....uliyembinguni!!....ni mfumo dume ndio ume-influence hii kitu!!?Nikki wa Pili alisema imeandikwa kuwa mwanaume aliumbwa kwanza na mwanamke akatolewa kwenye ubavu wake kwa sababu ni wanaume ndio waliandika Bible hivyo wakajiweka juu
Binadamu kuumbwa au kutokuumbwa ni suala la imani, na imani sio fact maana kuna wanaoamini tofauti, wengine hawaamini kabisa, na wana sababu zao pia. Hivyo huwezi kusema Nikki yupo sahihi ama sio sahii kuhusu mwanadamu wa kwanza
Ila yupo sahihi kuwa Biblia iliandikwa na wanaume
Biblia sio kitabu kilichoshuka Mbinguni, ni kitabu kilichoandikwa na wanadamu, na hao wanadamu ni wanaume au ni wanaume almost wote.
Biblia ndio ilikuwa kama katiba miaka hiyo, manabii wote walikuwa wanaume na waandishi walikuwa wanaume pia.
Miaka hiyo mwanamke alikuwa mtu wa kutunza familia tu, japo kuna exception chache
Jamaa anajiona yupo mbali kichizi...maana akicheki wasanii wenzake waliomzunguka...wengi hata form four hawajafika...kwa hiyo anajisahau.... anajiona yupo juu kweli kumbe kiazi mbatata tupu...ππππππππππ
Unapata wapi authority ya kumkosoa mtu? Wewe kama nani?Ndio maana namkosa huyu mpumbavu Kama ww
Kabisaa ila Nickson Simon nimweupe kinoma noma kwanza Masters yenyewe ya DS harafu sijui kwanini watu wanamuona msomi Yule dogoπ π π π ,jamaa muda mwingi kazungukwa na wakimbia umande hivyo lazima ajione kichwa.
Biblia ipo hiviAssuming kwamba tunakubaliana na mawazo ya Nikki kwamba si kweli kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa ni mwanaume, means binadamu wa kwanza kuumbwa atakuwa mwanamke.
Now, sidhani kama inatosha kusema eti sababu kubwa ya hilo swala ni kwa vile mwanaume ndiye aliyeandika Biblia.
Nadhani hapa tunaweza kuwa na mjadala mrefu kutokana na hiyo kauli:-
- Kwamba biblia inasema uongo
- Kwamba hakuna kitu uumbaji (ni myth)
- Uumbaji upo ila mwanamke ndiye top
Ili kuweza kupunguza upana wa mjadala, nipe mtazamo wako kwa hizo points hapo juu, unachagua ipi ili tuijadili kwa kubase hapo.
Hivi kwanini wengi mkitaka kumkosoa mtu mnaanzaga na mazingira kama "japo kuwa natokea Arusha lakini..,japo kuwa Mimi ni mkristo/mwislam lakini, au Mimi siyo shabiki wa Fulani lakini...nk"
Huwa mnaogopa nini au mnamwogopa nani ? Hadi kuanza kujitengenezea mazingira ya hivyo?
Kwani Ana hela???Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Huyu Nick ngoja aoe kwanza maana ni mtoto sana. Atakapo oa halafu mkewe akiwa kichwa cha nyumba ndio atajua Biblia iliandikwa na Mwanadamu kwa uongozi wa Roho MtakatifuHapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Biblia ipo hivi
Katika stage mbalimbali za kustaarabika mwanadamu, jamii zilizokua zimestaarabika sana kipindi hicho, wakaona kulikuwa na haja ya kuwa na kitabu/ muongozo ambao utakua unaelezea chanzo cha maisha hapa Duniani na pia kitoe muongozo wa namna ya binadamu wanapaswa kuishi kwa pamoja ili kuleta ustaarabu na fairness
Kwa kifupi ni kuwa Biblia ni kama Katiba ya nchi na Encyclopedia ya mwanadamu wa enzi hizo zikawa combined kwenye kitabu kimoja.
Ni kama Quran pia, ambayo Waislam wanaiona kama ndio kitabu chenye sheria na miongozo yote na elimu yote ya Dunia viko combined
So Biblia kwa kipindi kile ilikuwa sahihi na ilidumu kwa kipindi kirefu sana
Ndipo ikaja enzi nyingine hizi ambapo ugunduzi ulifanyika, elimu ikapanuka mara dufu na dufu ikahitaji mabilioni ya vitabu kuiandika, sheria nyingine zikatungwa kuhusu mambo mbalimbali na mahitaji ya Dunia kwa sasa, na sheria za kwenye Biblia hazitumiki tena na Dini na serikali vimetanganishwa
Maswala ya Mungu na Uumbaji mwenyewe sijafikia kwenye conclusion bado, ila naweza kukuambia ule uumbaji ulioelezewa kwenye Biblia ni kutokana na mwanadamu wa enzi hizo kujaribu kuelezea chanzo cha maisha kwa uelewa wake aliokuwa nao, na mimi siukubali.
Chanzo cha maisha ni kitu complex na cha mjadala sana, na kila nadharia inayojaribu kuelezea, including hiyo ya uumbaji ina mapungufu yake
Kuhusu mwanamke na mwanaume, ni kuwa, mwanaume yupo aggresive, tolerant, powerful, intelligent kuliko mwanamke, hii haitokani na mfumo dume bali maumbile ndio maana na ndio maana ameweza kuwa juu ya mwanamke kwa karne nyingi. Japo kuna baadhi ya sehemu chache mfumo dume unampa favour zaidi
Ni kama Mzungu na Muafrika, Mzungu yupo aggresive na intelligent kuliko muafrika ndio maana yupo juu yake, ila kuna wakati mwingine mzungu anakuaa favoured na kuonekana bora sababu ameshazoeleka yeye ndio bora zaidi
Jamaa naona hiyo kauli ya 'mwanamke kutolewa ubavuni kwa mwanaume' ndio anayoitilia shaka, sio kuwa wa kwanza au wa pili. Angekuwa wa pili ila akaumbwa kama mwanaume alivyoumbwa na sio kutolewa kwenye ubavu wake, lisingeonekana la kumdunisha mwanamkeOkay, kuhusu biblia kuwa kama ilivyo naweza kuielewa point yako (ni very reasonable).
Kuhusu katiba za nchi, serikali kujitenga na dini naweza kuwa upande wako pia.
Point yetu ilikuwa ni kuhusu uumbaji, kwamba mwanaume siyo MTU wa kwanza kuumbwa, impliedly inakuwa kwamba mwanamke ndiye wa kwanza kuumbwa.
Kwa vile umesema hujafika conclusion naomba nisiendelee na hili.
Mtazamo wangu juu ya kauli ya Nikki, nafikiri Nikki alitaka kutueleza kwamba kwenye uumbaji au huko mwanzo mtu mwenye mamlaka zaidi alikuwa ni mwanamke, hivyo mwanaume kwa kutumia aggressiveness yake akamnyanganya mamlaka hayo na akaweka maandishi kama sheria ambazo zilizidi kumkandamiza zaidi mwanamke. Hii ni concept ya Da Vinci Code, issues za Mary Magdalene na Holy Grail, kwamba yeye ndiye aliyeachiwa mamlaka ya kuwa muhimili wa kanisa and so and so.
Ninahisi hicho ndicho alichotaka kutuambia, ila ni kitu kigumu sana kukielezea, maana hakuna supporting evidence ya mambo hayo, hakuna supporting evidence ya kwamba mambo hayako hivyo nk. Tunaishia kuambiwa tuamini.