Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Hata mimi sijawahi kumwelewa jamaa make ni mjuaji kupita kiasi af ukiangalia kielim anacholingia ni masters.
 
Mtu mmoja aliuliza swali..kama imewezekana kutafsiri biblia na quran kwa kiswahili kiasi kwamba kila mtu ana uwezo wa kuisoma na kuielewa ni nini kilishindika a kutafsiri vitabu vya science,teknolojia,afya,uchumi, n.k kwa kiswahili ili watu wetu wajisomee na waelewe kwa undani
 
Hili labda hapa kwenu tu, kuna nchi tangu na tangu dini kwao ndio muongozo na serikali itafuata muongozo huo. Na sio kwamba nchi hizo haziendelei au eti ni za kiboya, no no no no! Ni nchi na mambo yake, kwa hiyo usitake kuonesha kwamba eti dini ni ushamba flani.

Mfano michache ni Saudia Arabia na Iran.....
 
Religion especially Islam ni mfumo wa maisha ambao kwa kiasi kikubwa sana unapingana na mfumo wa democracy ambao ni mfumo wa maisha wa watu wa magharibi especially taifa la Marekani.

Kikawaida mfumo una-characteristic ya kutaka kutamalaki, na hapo ndio shida inapokuja. Mfumo huo wa kimaisha wa kimagharibi kwa kuwa unakinzana na mfumo wa kiislam (religion) basi unafanya juu chini kuwaminisha wafuata mifumo (binaadam) kwamba mfumo wao ndio mzuri na mfumo mwengine haufai, kwa kutumia hoja kama hizo za ukandamizwaji, gender imbalance, human rights etc etc.

Umetoka mfano mzuri sana ndugu juu ya kampeni hizi zinazofanyika za kuwa-empower women na kuonyesha kwamba zina mapungufu yake kadhaa ya kiasili, I mean ni kampeni ambazo kamwe hazitofanikiwa maana zitaziba sehemu flani na kuacha wazi sehemu nyengine. Na hilo linatokana na ukweli kwamba, tangu binaadam alipoumbwa, aliyemuumba alimuumba ili aweze kufanya jambo flani (kwa gender yake) na jengine asiweze kulifanya.

Mfano: Leo katika nchi za ulaya Maternity leave ni mwaka mmoja. Imagine huyu mtu ni president of a country, na vice president pia ni mwanamke na inatokea wote wawili wanakwenda Maternity at the same time for one year, huoni kwamba hapo kutakuwa na tatizo kubwa sana???

Kwa hiyo hizi ni kampeni tu zinafanywa ba kiukweli zimetuingia kisawa sawa! Kwa kutumia kampeni hizi ndio tunajenga upande flani ( the so called gender equality) na kuharibu upande mwengine (the so called natural justice)
 
Huu ni ukweli mchungu
 
Jamaa ni arrogant sana hujihisi amesoma kuliko MTU yeyote hasa hao wasanii wenzake. Mbona mwanafa hayupo hivyo!!? Abadilike kila hujifanya anakijua namfananisha na member mmoja humu anajiita sijui gentamycine yeye kila kitu ana'act, in mwerevu nacho kumbe no kiazi Fulani.
 
Acha maneno ya taarabu kwenye hoja ya msingi, nimuonee wivu yule ana nini sasa...
Acha upuuzi niache kuwaonea wivu wakina Drake, R. Kelly, n. K nije kumuonea wifu, Huyu Masikini.
Taarabu ni wa saka hela kama hip hop au kama vikundi vyengine vya kupiga makelele-acha kusifia watu kiboya boya mkuu-una jiona bonge la mjanja ukitaja ulio wataja kwenye hii comment
 
Andika kitu kieleweke mkuu kwa faida ya walio wengi usichanganye changanye maneno
 
Kwahiyo injili ya Marko kidogo ina mashiko mkuu?
 
Huyo Holy Grail huwa anasemaje?
 
Ni sawa kwani mtu unaanza ku declare interest ili usionekane uko biased.
 
Wewe ndio kumbafu usiejitambua...

Niki yuko sahihi kwa huelewa wake japo huyo Adam na Hawa ni symbol/metaphor.

Kama binadamu hawajawahi kuexist ni imagination zenu nyinyi fundamentalist/wafia dini
 
Safi,bilashaka wewe ni Nikki kwasababu ya uandishi huu.
 

Sure, kuna ukandamizaji fulani unafanyika kwa interest za usawa. Tunatrade professionalism kwa kigezo cha gender balance.

Mfano mdogo ni zile entry za vyuo, mmoja anaingia kwa div 3 kwa kigezo cha gender na unaendelea kumbeba mpaka anaingia kwenye nafasi za maamuzi.

Mbaya sana hii.
 
Maternity leave mwaka[emoji849][emoji849][emoji134]...mbona ningejinenepea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…