Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Hata mimi sijawahi kumwelewa jamaa make ni mjuaji kupita kiasi af ukiangalia kielim anacholingia ni masters.
 
Mtu mmoja aliuliza swali..kama imewezekana kutafsiri biblia na quran kwa kiswahili kiasi kwamba kila mtu ana uwezo wa kuisoma na kuielewa ni nini kilishindika a kutafsiri vitabu vya science,teknolojia,afya,uchumi, n.k kwa kiswahili ili watu wetu wajisomee na waelewe kwa undani
 
Ndipo ikaja enzi nyingine hizi ambapo ugunduzi ulifanyika, elimu ikapanuka mara dufu na dufu ikahitaji mabilioni ya vitabu kuiandika, sheria nyingine zikatungwa kuhusu mambo mbalimbali na mahitaji ya Dunia kwa sasa, na sheria za kwenye Biblia hazitumiki tena na Dini na serikali vimetanganishwa
Hili labda hapa kwenu tu, kuna nchi tangu na tangu dini kwao ndio muongozo na serikali itafuata muongozo huo. Na sio kwamba nchi hizo haziendelei au eti ni za kiboya, no no no no! Ni nchi na mambo yake, kwa hiyo usitake kuonesha kwamba eti dini ni ushamba flani.

Mfano michache ni Saudia Arabia na Iran.....
 
Uko so moderate kwenye point yako, hutoi hitimisho kamili.

Naelewa ugumu uliopo kwenye swala la kuondoa ukandamizaji, hasa ukichukulia nature ya kimfumo kwenye uumbaji kati ya mwanamke na mwanaume.

Ukijaribu kulifikiria unakuta kuna baadhi ya taratibu tumejikuta tunazivunja kwa kigezo cha gender balance, kuna favor ambazo mwanamke anapewa kwenye taasisi kama ulivyosema pasipo kuangalia uwezo isipokuwa tu gender.

Sina shida na inapotokea wa kike na wa kiume wakilingana uwezo apewe wa kike, lakini pale ambapo wa kike anapewa huku yuko chini kiuwezo ni tatizo.

Nakumbuka miaka ya Kikwete 2005/2006 kuna kitu kilianzishwa kuwaingiza watoto wa kike kwenye program za Engineering na Science kwa ujumla, wakawa wanachukua grades za chini sana (ilikuwa special entries), miaka ya mwanzoni wakawa wana disco sana, baadae kukawekwa utaratibu wa kuhakikisha hata kama wamepata matokeo ya chini wawe wanaachwa mpaka wamalize.

Hilo lilikuwa ni tatizo kwa upande wangu, kwa sababu umetumia kigezo cha kuwapandisha kwa sababu ya jinsia, hao wanakuja kuhitimu na wanapewa vitengo vya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri mfumo au maisha ya watu, hilo ni tatizo.

Na huu upendeleo ni kampeni za dunia nzima, nadhani kuna kitu kinaweza kufanyika kuweka mazingira sawa kwa kila kundi, nature iwe factored in kujua nani anaweza kufanya nini kwa uwezo wake nk. (Who should do it? Hilo ni swali gumu).
Religion especially Islam ni mfumo wa maisha ambao kwa kiasi kikubwa sana unapingana na mfumo wa democracy ambao ni mfumo wa maisha wa watu wa magharibi especially taifa la Marekani.

Kikawaida mfumo una-characteristic ya kutaka kutamalaki, na hapo ndio shida inapokuja. Mfumo huo wa kimaisha wa kimagharibi kwa kuwa unakinzana na mfumo wa kiislam (religion) basi unafanya juu chini kuwaminisha wafuata mifumo (binaadam) kwamba mfumo wao ndio mzuri na mfumo mwengine haufai, kwa kutumia hoja kama hizo za ukandamizwaji, gender imbalance, human rights etc etc.

Umetoka mfano mzuri sana ndugu juu ya kampeni hizi zinazofanyika za kuwa-empower women na kuonyesha kwamba zina mapungufu yake kadhaa ya kiasili, I mean ni kampeni ambazo kamwe hazitofanikiwa maana zitaziba sehemu flani na kuacha wazi sehemu nyengine. Na hilo linatokana na ukweli kwamba, tangu binaadam alipoumbwa, aliyemuumba alimuumba ili aweze kufanya jambo flani (kwa gender yake) na jengine asiweze kulifanya.

Mfano: Leo katika nchi za ulaya Maternity leave ni mwaka mmoja. Imagine huyu mtu ni president of a country, na vice president pia ni mwanamke na inatokea wote wawili wanakwenda Maternity at the same time for one year, huoni kwamba hapo kutakuwa na tatizo kubwa sana???

Kwa hiyo hizi ni kampeni tu zinafanywa ba kiukweli zimetuingia kisawa sawa! Kwa kutumia kampeni hizi ndio tunajenga upande flani ( the so called gender equality) na kuharibu upande mwengine (the so called natural justice)
 
Mwanamke alitoka kwenye ubavu wa mwanaume...rejea Adam na Hawa.....kwa asili mwanamke aliumbwa kumsaidia mwanaume...hayo mengine ni mapambo tu ambayo hayana msingi!....hesabu zote zinakataa mwanamke hawezi kujisimamia bila kusaidiwa na mwanaume na ushahidi upo mwingi ....Am sorry to say that...
Huu ni ukweli mchungu
 
Jamaa ni arrogant sana hujihisi amesoma kuliko MTU yeyote hasa hao wasanii wenzake. Mbona mwanafa hayupo hivyo!!? Abadilike kila hujifanya anakijua namfananisha na member mmoja humu anajiita sijui gentamycine yeye kila kitu ana'act, in mwerevu nacho kumbe no kiazi Fulani.
 
Acha maneno ya taarabu kwenye hoja ya msingi, nimuonee wivu yule ana nini sasa...
Acha upuuzi niache kuwaonea wivu wakina Drake, R. Kelly, n. K nije kumuonea wifu, Huyu Masikini.
Taarabu ni wa saka hela kama hip hop au kama vikundi vyengine vya kupiga makelele-acha kusifia watu kiboya boya mkuu-una jiona bonge la mjanja ukitaja ulio wataja kwenye hii comment
 
So basically the issue is not what Nikki wa pili says but it's because he got himself a hot chick?!
Some Men are hilarious & pathetic wallaih!

*Ndicho nimegundua while reading between the lines za mada ya mtoa mada na baadhi ya Wachangiaji wa humu na twitter!
Andika kitu kieleweke mkuu kwa faida ya walio wengi usichanganye changanye maneno
 
Nani alikuambia Biblia imeandikwa na Mungu!?? Vitabu vya mwanzo,kutoka,mambo ya walawi,hesabu na kumbukumbu la Torati vimeandikwa na Mussa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Hata injili hao wainjilist mathayo,Marko,Luka na Yohane ndiyo walioandika hizo injili. Na kati yao,Marko ndo mwinjilist Msomi kuliko hao wengine. Ndo maana injili ya Marko ipo tofauti sana na zile zingine.
Kwahiyo injili ya Marko kidogo ina mashiko mkuu?
 
Yuko sahihi kwenye point ipi?
Kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa hakuwa mwanaume?
Au biblia iliandikwa na wanaume?
Anyway: ingewekwa hapa nukuu kamili ingekuwa rahisi kujadili, maana unaposema binadamu wa kwanza siyo mwanaume, inabidi tupate maelezo ya wa kwanza ni nani na uumbaji wake ulikuwaje.
Nina wasiwasi jamaa atakuwa alishasoma soma issues za Holy Grail ila kashindwa kuifafanua vizuri.
Huyo Holy Grail huwa anasemaje?
 
Hivi kwanini wengi mkitaka kumkosoa mtu mnaanzaga na mazingira kama "japo kuwa natokea Arusha lakini..,japo kuwa Mimi ni mkristo/mwislam lakini, au Mimi siyo shabiki wa Fulani lakini...nk"

Huwa mnaogopa nini au mnamwogopa nani ? Hadi kuanza kujitengenezea mazingira ya hivyo?
Ni sawa kwani mtu unaanza ku declare interest ili usionekane uko biased.
 
Wewe ndio kumbafu usiejitambua...

Niki yuko sahihi kwa huelewa wake japo huyo Adam na Hawa ni symbol/metaphor.

Kama binadamu hawajawahi kuexist ni imagination zenu nyinyi fundamentalist/wafia dini
 
Mosi: Wewe ndio mshamba, Kama Msomi unapaswa kushambulia hoja ya Nikki wa Pili kisomi na kwa hoja ili wafu Safahamu sehemu ambayo kakosea sio kumshambulia Nikki a Pili mwenyewe!
Pili : Umesema wewe ni Mkristo, nakujibu hivi yawezekana Mungu mwenyewe ndio Mwanzilishi wa mfumo dume ka kuwa alimuumba Mwanaume kwanza kisha ndio Mwanamke na hata pa alitumia Mitume/Manabii wengi wa Kiume kuliko wa Kike!
Tatu: kwa kusoma hoja namba mbili, yawezekana Yesu pia alichagia kukua na kuenea kwa mfumo dume baada ya Mungu kuanzisha kwa sababu nae alitumia na alichagua Mitume 12 wote wakiwa Wanaume, wale wanawake Walikua ni Wafuasi sio Mitume.
Mwisho: Anza kuelewa kwamba Biblia na Quran sio Utamadumi, Mila wala za Kiafrika au Baadhi ya Mabara hivyo Nikki ana haki wa kuhoji hayo yaliyoandikwa kwenye hivyo Vitabu!
Safi,bilashaka wewe ni Nikki kwasababu ya uandishi huu.
 
Religion especially Islam ni mfumo wa maisha ambao kwa kiasi kikubwa sana unapingana na mfumo wa democracy ambao ni mfumo wa maisha wa watu wa magharibi especially taifa la Marekani.

Kikawaida mfumo una-characteristic ya kutaka kutamalaki, na hapo ndio shida inapokuja. Mfumo huo wa kimaisha wa kimagharibi kwa kuwa unakinzana na mfumo wa kiislam (religion) basi unafanya juu chini kuwaminisha wafuata mifumo (binaadam) kwamba mfumo wao ndio mzuri na mfumo mwengine haufai, kwa kutumia hoja kama hizo za ukandamizwaji, gender imbalance, human rights etc etc.

Umetoka mfano mzuri sana ndugu juu ya kampeni hizi zinazofanyika za kuwa-empower women na kuonyesha kwamba zina mapungufu yake kadhaa ya kiasili, I mean ni kampeni ambazo kamwe hazitofanikiwa maana zitaziba sehemu flani na kuacha wazi sehemu nyengine. Na hilo linatokana na ukweli kwamba, tangu binaadam alipoumbwa, aliyemuumba alimuumba ili aweze kufanya jambo flani (kwa gender yake) na jengine asiweze kulifanya.

Mfano: Leo katika nchi za ulaya Maternity leave ni mwaka mmoja. Imagine huyu mtu ni president of a country, na vice president pia ni mwanamke na inatokea wote wawili wanakwenda Maternity at the same time for one year, huoni kwamba hapo kutakuwa na tatizo kubwa sana???

Kwa hiyo hizi ni kampeni tu zinafanywa ba kiukweli zimetuingia kisawa sawa! Kwa kutumia kampeni hizi ndio tunajenga upande flani ( the so called gender equality) na kuharibu upande mwengine (the so called natural justice)

Sure, kuna ukandamizaji fulani unafanyika kwa interest za usawa. Tunatrade professionalism kwa kigezo cha gender balance.

Mfano mdogo ni zile entry za vyuo, mmoja anaingia kwa div 3 kwa kigezo cha gender na unaendelea kumbeba mpaka anaingia kwenye nafasi za maamuzi.

Mbaya sana hii.
 
Religion especially Islam ni mfumo wa maisha ambao kwa kiasi kikubwa sana unapingana na mfumo wa democracy ambao ni mfumo wa maisha wa watu wa magharibi especially taifa la Marekani.

Kikawaida mfumo una-characteristic ya kutaka kutamalaki, na hapo ndio shida inapokuja. Mfumo huo wa kimaisha wa kimagharibi kwa kuwa unakinzana na mfumo wa kiislam (religion) basi unafanya juu chini kuwaminisha wafuata mifumo (binaadam) kwamba mfumo wao ndio mzuri na mfumo mwengine haufai, kwa kutumia hoja kama hizo za ukandamizwaji, gender imbalance, human rights etc etc.

Umetoka mfano mzuri sana ndugu juu ya kampeni hizi zinazofanyika za kuwa-empower women na kuonyesha kwamba zina mapungufu yake kadhaa ya kiasili, I mean ni kampeni ambazo kamwe hazitofanikiwa maana zitaziba sehemu flani na kuacha wazi sehemu nyengine. Na hilo linatokana na ukweli kwamba, tangu binaadam alipoumbwa, aliyemuumba alimuumba ili aweze kufanya jambo flani (kwa gender yake) na jengine asiweze kulifanya.

Mfano: Leo katika nchi za ulaya Maternity leave ni mwaka mmoja. Imagine huyu mtu ni president of a country, na vice president pia ni mwanamke na inatokea wote wawili wanakwenda Maternity at the same time for one year, huoni kwamba hapo kutakuwa na tatizo kubwa sana???

Kwa hiyo hizi ni kampeni tu zinafanywa ba kiukweli zimetuingia kisawa sawa! Kwa kutumia kampeni hizi ndio tunajenga upande flani ( the so called gender equality) na kuharibu upande mwengine (the so called natural justice)
Maternity leave mwaka[emoji849][emoji849][emoji134]...mbona ningejinenepea
 
Back
Top Bottom