Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Muda si mrefu kutazaliwa msemo WANAUME WA ARUSHA km ilivyo kwa wanaume wa dar,
 
Nawe ulifanya lini utafiti ukagundua kuwa biblia inasema kweli? Kumchukia mtu pasipo na sababu ni wivu uliochanganyika na uchawi ndan yake
 
Mbona kama mnamchukia sana huyo arifu wa Ara? Hata kama mwanamke aliumbwa wa pili au wa tatu hakuathiri nafasi ya Mungu kama muumbaji wala hakumuweki mwanaume kwenye nafasi ya kumnyanyasa mwanamke, wala hakuna mahali Mungu alitangaza kuwa mwanamke atatawaliwa na mwanaume kwa kuwa ni dhaifu. Hawa wote kwa pamoja walipewa mamlaka ya kuitiisha nchi na Adam alimpenda mkewe kwa kukiri ni nyama katika nyama zake na mfupa katika mifupa yake na akamwita mama wa wote (Eva). Mungu aliweka mfumo ambao msingi wake ni upendo, mwanadamu akaja kuweka wa kwake ambao msingi wake ni ubinafsi. Biblia, ndiyo, ina simulizi nyingi za ukatili dhidi ya wanawake lakini haimaanishi kuwa Mungu ndiye aliyeasisi. Hakuna ubishi kuwa Biblia iliandikwa na wanaume waliokuwa wakiishi katika jamii iliyokuwa na mfumo dume na kuna ukatili mwingi dhidi ya wanawake uliofungamanishwa kwenye itikadi humo. Mungu ni pendo na aliumba mtu -mwanamke na mwanaume aliwaumba waishi katika misingi ya upendo ambao ni yeye mwenyewe huku mwanaume akiwa kiongozi wa kupenda kama Mungu anavyowapenda watu wake. Hivyo unyanyasaji wowote wa mwanamke usihusianishwe na Mungu bali na ubinafsi wa mwanadamu aliyepewa uhuru wa kuchagua.

Pia hakuna ubaya kwa mtu kuhoji kitu kuhusu Mungu. Hata mababa wa imani akina Ayubu na Daudi walihoji mambo mengi kuhusu uumbaji na tabia ya Mungu lakini hawakuacha imani. Walihitimisha tu kuwa hachunguziki, kwa hiyo, hoja ijadiliwe kwa hoja badala ya kumjadili mtoa hoja. Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ni ishara ya utupu wa maarifa na fikra na wivu tu.
 

Thank God for the maturity that some of us have to "showcase" no matter what, vinginevyo.....
Joowzey could you step any lower?

Binaadam tumuwacheni Nikki wa pili awe Nikki wa "pili", Ahsante.
 
Kuamua kutoamini kitu haimaanishi ni ushamba. Kuna watu wamechagua kuwa atheist. Je utawaita washamba? Ushamba ni nini kwanza? Mtu kuongea kauli ambazo hauzipendi haiwezi kuwa kipimo cha ushamba. Mshamba ni yule anayeamini kwamba lazima wote tufikiri kwa namna moja. Kosoa hoja za Nikki achana na kukosoa utu wake au hulka yake. Tabia za mapopoma, ni kumchukia sana mtu anayeonekana kuwa na maarifa zaidi yao😀😀😀
 
Wote mlio comment kwenye huu uzi washamba, Mleta Mada Mshamba na huyo Nikki nae Mshamba hata Mimi pia Mshamba.
 
Hahahah yule tukimgwajima wiki inayofata msiba chuga
 

Huu ndio mfumo dume anaouzungumzia. Wengine mnasema anajiona bora kuliko binadamu wengine huku mkipinga usawa wa jinsia.

Na imani huu ujinga mlio nao utaisha siku moja maana dunia tunayokwenda sio rafiki kwa wenye upeo finyu
 
Masahihisho kidogo,Luka ndo alikuwa msomi na ameandika pia kitabu cha Matendo ya mitume
 
Umeanza vizuri umekosea kumaliza mwanamke ni msaidizi safi sana maana yake mwanaume huyu hajiwezi mpka asaidiwe.
 
so unamchukia coZ anajua kuliko wewe

Ni viongz wangp wakubwa wa nukuu maneno ya watu ?!


What the shit are you talking about ?!
 
Masahihisho kidogo,Luka ndo alikuwa msomi na ameandika pia kitabu cha Matendo ya mitume
Mwinjilisti Marko ndo mwinjilisti Msomi kuliko wainjilisti wote. Na injili ya Marko ndo injili yenye maariifa kuliko zote. Kumbuka hiyo ndo injili iliyoandikwa mwanzo kabisa na waandishi wengine waliandika kwa kuangalia hiyo. Injili ya Marko ndo injili fupi kuliko zote lkn ndo yenye mambo makubwa.
 
Kwahiyo injili ya Marko kidogo ina mashiko mkuu?
Injili ya Marko ndo iliyotumika kuandika hizo zingine. Injili ya Marko ndo injili fupi kuliko hizo zingine. Lkn ndo injili iliyoandika habari zote nzito za Yesu.
 
kuhusu kumchukia au kumpenda nikki ilo halinihusu, ila hoja yangu ni kwanini watu wengi mnakua wakali kwa mtu anae hoji kitu kuhusu dini? kuhusu maandiko ya dini? na historia yake, mnafikiri ivyo vitabu vya dini vilishushwa toka mbinguni, vimeandikwa tu kutokana na historia za zamani na bado hakuna ushahidi wa kutosha zaidi ya kuamini tu, kuna wengine ata ukiwaambia yule alieigiza picha ya yesu sio yesu na wala hata hafaninii nae ata kwa mbali bado anakua mkali, huwa nashangaa sana.
 
Nawe ulifanya lini utafiti ukagundua kuwa biblia inasema kweli? Kumchukia mtu pasipo na sababu ni wivu uliochanganyika na uchawi ndan yake
imuonee wivu yule ana nini sasa...
Acha upuuzi niache kuwaonea wivu wakina Drake, R. Kelly, n. K nije kumuonea wifu, Huyu Masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…