chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Huwa anàhamasisha tupende makalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu kaandika kitabu gani?Kwa hiyo wewe na Nick 2,mnataka kumfundisha Mungu namna ya kuandika vitabu vyake?
Jamaa anajiona ana akili kubwaz ...na watu wanamuaminisha hivyo....kumbe bonge la kiazi...I think waelewa wamenielewa
Usiumize kichwa kwa maneno ya wasanii,mda wote wapo stejini au location.Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Chuki haifai mkuuimuonee wivu yule ana nini sasa...
Acha upuuzi niache kuwaonea wivu wakina Drake, R. Kelly, n. K nije kumuonea wifu, Huyu Masikini
Simu akimtag atakuwa kafanya foul .Anatumia jina gani yule binti kwenye mitandao hii ya kijamii yule dogo huwa hataki kabisa kumtag akimpost?
Nani alikuambia Biblia imeandikwa na Mungu!?? Vitabu vya mwanzo,kutoka,mambo ya walawi,hesabu na kumbukumbu la Torati vimeandikwa na Mussa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Hata injili hao wainjilist mathayo,Marko,Luka na Yohane ndiyo walioandika hizo injili. Na kati yao,Marko ndo mwinjilist Msomi kuliko hao wengine. Ndo maana injili ya Marko ipo tofauti sana na zile zingine.
oHapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Nickk bado hajitambui pamoja na hako ka master chake ukiona binadamu yoyote analingana na maneno ya mungu usiloteze hata sekunde mmsimiliza.Yuko sahihi kwenye point ipi?
Kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa hakuwa mwanaume?
Au biblia iliandikwa na wanaume?
Anyway: ingewekwa hapa nukuu kamili ingekuwa rahisi kujadili, maana unaposema binadamu wa kwanza siyo mwanaume, inabidi tupate maelezo ya wa kwanza ni nani na uumbaji wake ulikuwaje.
Nina wasiwasi jamaa atakuwa alishasoma soma issues za Holy Grail ila kashindwa kuifafanua vizuri.
Dan lokomotive...kweli umeona mbali..huyu nikk ni mjinga sana umaarufu hauji kwa kutafuta kiki kwa neno la mungu..kweli jamaa hakuongea kitu ambacho hauji maana yake kama yeye anajua hivo kwanini anataka amuoe na utasikia ataenda kanisani na atasoma na kufata kitabu kile kile atakacho kikosoa mpuuzi na hana akili....na pia tukija katika hali ya kawaida mwanaume ni mwanaume yeye aoe halafu ashindwe kumhudumia kw mahitaji anayoyahitaji mwanamke wake uone kama hata enda kumvulia mwanaume mwingine au akose pesa
Naomba list ya wasani wa mziki wenye masters hapa tanzaniaNi kajamaa jamaa hivi, kanadai kenyewe ndio kama masters ya sociology kuliko wasanii wote bongo na ndio kenye masters ya sociology Arusha yote. Daah