Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Chuki na wivu vikikolea sana unakuwa mchawi, heshimu mawazo ya mtu achana naye fanya yako.
Asante
 
Japokuwa na mimi natokea Arusha huwa simkubali huyu msela.

Huwa anpenda kuandika nukuu za watu maarufu ili aonekane mwerevu bila kuweka ni nani aliyeandika nukuu hiyo.

Hata hiyo nukuu iliyozua utata ilikuwa ni nukuu aliyoitoa sehemu fulani lakini hakuandika jina la mtu aliyeandika baada ya watu kumletea noma ndo akajifanya kusema sio yeye aliyeandika bali ametoa sehemu fulani.
Mzee wa kukopi na kupest .. plagiarism...huwa hadisclose source..mpuuzi kweli
 
Mshamba ni wewe uliyejifungia ndani ya box. Hv kosa la Nikki wa pili ni nini hapo!?? Hebu jibu hoja yake. Nikki amesema Biblia kwa sababu iliandikwa na wanaume iliandikwa kwa kuwapendelea wanaume ambao ndo mfumo dume anaousema Nikki.

Me nakubaliana naye na kuna ushahidi mkubwa tu kwenye hilo kuthibitisha kuwa Biblia ina mfumo dume. Mfano mojawapo,Biblia inamlinda mwanaume kwenye uzinzi na neno uzinzi kwenye Biblia linamhusu mwanamke tu. Lkn kasome pia injili ya mathayo. 1:1-16. Soma hapo ukoo wa Yesu waliotajwa wote ni wanaume yaani km vile kile kizazi kilizaa wanaume pekee. Soma pia Luka.6:12-16. Yesu wakati anachagua mitume miongoni mwa wanafunzi wake na kuwapa jina Mitume,alichagua wanafunzi 12 wote wanaume. Biblia nzima imejaa mfumo dume.

Kwenye Sheria za Mussa yaani Torati ni mwanamke pekee ndo alikuwa anapigwa mawe kwa uzinzi lkn si mwanaume.
Kwa hiyo wewe na Nick 2,mnataka kumfundisha Mungu namna ya kuandika vitabu vyake?
 
Chuki na wivu vikikolea sana unakuwa mchawi, heshimu mawazo ya mtu achana naye fanya yako.
Asante
Acha maneno ya taarabu kwenye hoja ya msingi, nimuonee wivu yule ana nini sasa...
Acha upuuzi niache kuwaonea wivu wakina Drake, R. Kelly, n. K nije kumuonea wifu, Huyu Masikini.
 
Hizo ni Chuki binafsi tu.
BTW wewe unahakika gani kama biblia ni neno la Mungu !?

Acha maneno ya taarabu kwenye hoja ya msingi, nimuonee wivu yule ana nini sasa...
Acha upuuzi niache kuwaonea wivu wakina Drake, R. Kelly, n. K nije kumuonea wifu, Huyu Masikini
 
Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .

Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .

Huko mbele atakuja simulia tu
Mkuu yule binti anatumia jina gani IG huwa naona anampost tu lakini hamtag?
 
Mshamba ni wewe uliyejifungia ndani ya box. Hv kosa la Nikki wa pili ni nini hapo!?? Hebu jibu hoja yake. Nikki amesema Biblia kwa sababu iliandikwa na wanaume iliandikwa kwa kuwapendelea wanaume ambao ndo mfumo dume anaousema Nikki.

Me nakubaliana naye na kuna ushahidi mkubwa tu kwenye hilo kuthibitisha kuwa Biblia ina mfumo dume. Mfano mojawapo,Biblia inamlinda mwanaume kwenye uzinzi na neno uzinzi kwenye Biblia linamhusu mwanamke tu. Lkn kasome pia injili ya mathayo. 1:1-16. Soma hapo ukoo wa Yesu waliotajwa wote ni wanaume yaani km vile kile kizazi kilizaa wanaume pekee. Soma pia Luka.6:12-16. Yesu wakati anachagua mitume miongoni mwa wanafunzi wake na kuwapa jina Mitume,alichagua wanafunzi 12 wote wanaume. Biblia nzima imejaa mfumo dume.

Kwenye Sheria za Mussa yaani Torati ni mwanamke pekee ndo alikuwa anapigwa mawe kwa uzinzi lkn si mwanaume.
si kweli mkuu soma vizuri uelewe
 
Anaitwa Somebody Temu sijue nani jina lake LA mwanzo ofcoz the chick is so hot hata. Mimi mate yanintoka ila to be a real man u have to make reservation to your attitude .thats classy

Huyu mchizi kapata demu ukubwani basi kajanjaruka saaana.
 
So basically the issue is not what Nikki wa pili says but it's because he got himself a hot chick?!
Some Men are hilarious & pathetic wallaih!

*Ndicho nimegundua while reading between the lines za mada ya mtoa mada na baadhi ya Wachangiaji wa humu na twitter!
 
Nani alikuambia Biblia imeandikwa na Mungu!?? Vitabu vya mwanzo,kutoka,mambo ya walawi,hesabu na kumbukumbu la Torati vimeandikwa na Mussa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Hata injili hao wainjilist mathayo,Marko,Luka na Yohane ndiyo walioandika hizo injili. Na kati yao,Marko ndo mwinjilist Msomi kuliko hao wengine. Ndo maana injili ya Marko ipo tofauti sana na zile zingine.
Kwa hiyo wewe na Nick 2,mnataka kumfundisha Mungu namna ya kuandika vitabu vyake?
 
So basically the issue is not what Nikki wa pili says but it's because he got himself a hot chick?!
Some Men are hilarious & pathetic wallaih!

*Ndicho nimegundua while reading between the lines za mada ya mtoa mada na baadhi ya Wachangiaji wa humu na twitter!
We unakili kweli, Mbona yule Mwanamke ni wakawaida tu,aweze kuingia hata robo kwa Mwanamke wangu huyo , na tungekuwa na wifu na naye tungeanza kumuandika siku nyingi sana na si leo, kwa sababu huyo mwanamke alikuwa naye muda mrefu Sana, Acha na mawazo Masikini ulinayo kichwani.
 
Wewe ndiyo lete huo ukweli. Me si nimekuonyesha udhaifu wa Biblia kwenye suala la mfumo dume.!??
okay soma vifungu vifuatavyo mkuu kumbkumbu la sheria 22;22-25, vifungu baadhi amabavyo vilinaonesha sheria haikuwa ime lalaia wanawake ile sheria ni ya watu wote ndio maana hata pale musa alirudi kutoka mlima sinai akakuta waa abudu sanamu waliua watu walio abudu sanamu , pia mungu angelikua na mfumo dume mbona kuna manabii wa kike wapo kama debora, na kuendelea
 
We unakili kweli, Mbona yule Mwanamke ni wakawaida tu, na tungekuwa na wifu na naye tungeanza kumuandika siku nyingi sana na si leo, kwa sababu huyo mwanamke alikuwa naye muda mrefu Sana, Acha na mawazo Masikini ulinayo kichwani.

Wel, wewe una mawazo yako na mimi nina observations zangu juu ya mawazo yako and there is nothing you can do about that!
 
Mimi nimesoma na kuishi Arusha toka enzi za utoto, kiukweli kabisa bila kupepesa macho watu walio wengi narudia kusema WALIO WENGI wa Arusha ni WASHAMBA.....! Halafu huwa wanaamini ni wajanja!! Pathetic!!!

Hicho kichalii Nikki hata kuRAP hajui, na ni mfano wa USHAMBA wa watu wa Arusha, anadhani ni nguli wa Hip hop.
Yeye ni msoma mashairi yasiyo na vigezo.
Anaamini Arusha nzima au nchi nzima hamna msomi kama yeye.[emoji28][emoji28]Ajabu sana hii.

Watu wamemjaza sifa asizostahili so anakuwa mpumbavu wa mwendo kasi, daily.

Kaka yake Jo Makini ni Makini na anajua Hip Hop !
 
Back
Top Bottom