Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna chuki hapo ameelezwa ukweli!Hizo ni Chuki binafsi tu.
BTW wewe unahakika gani kama biblia ni neno la Mungu !?
Mzee wa kukopi na kupest .. plagiarism...huwa hadisclose source..mpuuzi kweliJapokuwa na mimi natokea Arusha huwa simkubali huyu msela.
Huwa anpenda kuandika nukuu za watu maarufu ili aonekane mwerevu bila kuweka ni nani aliyeandika nukuu hiyo.
Hata hiyo nukuu iliyozua utata ilikuwa ni nukuu aliyoitoa sehemu fulani lakini hakuandika jina la mtu aliyeandika baada ya watu kumletea noma ndo akajifanya kusema sio yeye aliyeandika bali ametoa sehemu fulani.
Kwa hiyo wewe na Nick 2,mnataka kumfundisha Mungu namna ya kuandika vitabu vyake?Mshamba ni wewe uliyejifungia ndani ya box. Hv kosa la Nikki wa pili ni nini hapo!?? Hebu jibu hoja yake. Nikki amesema Biblia kwa sababu iliandikwa na wanaume iliandikwa kwa kuwapendelea wanaume ambao ndo mfumo dume anaousema Nikki.
Me nakubaliana naye na kuna ushahidi mkubwa tu kwenye hilo kuthibitisha kuwa Biblia ina mfumo dume. Mfano mojawapo,Biblia inamlinda mwanaume kwenye uzinzi na neno uzinzi kwenye Biblia linamhusu mwanamke tu. Lkn kasome pia injili ya mathayo. 1:1-16. Soma hapo ukoo wa Yesu waliotajwa wote ni wanaume yaani km vile kile kizazi kilizaa wanaume pekee. Soma pia Luka.6:12-16. Yesu wakati anachagua mitume miongoni mwa wanafunzi wake na kuwapa jina Mitume,alichagua wanafunzi 12 wote wanaume. Biblia nzima imejaa mfumo dume.
Kwenye Sheria za Mussa yaani Torati ni mwanamke pekee ndo alikuwa anapigwa mawe kwa uzinzi lkn si mwanaume.
Acha maneno ya taarabu kwenye hoja ya msingi, nimuonee wivu yule ana nini sasa...Chuki na wivu vikikolea sana unakuwa mchawi, heshimu mawazo ya mtu achana naye fanya yako.
Asante
Hizo ni Chuki binafsi tu.
BTW wewe unahakika gani kama biblia ni neno la Mungu !?
Mkuu yule binti anatumia jina gani IG huwa naona anampost tu lakini hamtag?Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .
Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .
Huko mbele atakuja simulia tu
si kweli mkuu soma vizuri ueleweMshamba ni wewe uliyejifungia ndani ya box. Hv kosa la Nikki wa pili ni nini hapo!?? Hebu jibu hoja yake. Nikki amesema Biblia kwa sababu iliandikwa na wanaume iliandikwa kwa kuwapendelea wanaume ambao ndo mfumo dume anaousema Nikki.
Me nakubaliana naye na kuna ushahidi mkubwa tu kwenye hilo kuthibitisha kuwa Biblia ina mfumo dume. Mfano mojawapo,Biblia inamlinda mwanaume kwenye uzinzi na neno uzinzi kwenye Biblia linamhusu mwanamke tu. Lkn kasome pia injili ya mathayo. 1:1-16. Soma hapo ukoo wa Yesu waliotajwa wote ni wanaume yaani km vile kile kizazi kilizaa wanaume pekee. Soma pia Luka.6:12-16. Yesu wakati anachagua mitume miongoni mwa wanafunzi wake na kuwapa jina Mitume,alichagua wanafunzi 12 wote wanaume. Biblia nzima imejaa mfumo dume.
Kwenye Sheria za Mussa yaani Torati ni mwanamke pekee ndo alikuwa anapigwa mawe kwa uzinzi lkn si mwanaume.
Wewe ndiyo lete huo ukweli. Me si nimekuonyesha udhaifu wa Biblia kwenye suala la mfumo dume.!??si kweli mkuu soma vizuri uelewe
Mtete kwa hoja piaMpinge Nikki wa pili kwa hoja
Kwa hiyo wewe na Nick 2,mnataka kumfundisha Mungu namna ya kuandika vitabu vyake?
We unakili kweli, Mbona yule Mwanamke ni wakawaida tu,aweze kuingia hata robo kwa Mwanamke wangu huyo , na tungekuwa na wifu na naye tungeanza kumuandika siku nyingi sana na si leo, kwa sababu huyo mwanamke alikuwa naye muda mrefu Sana, Acha na mawazo Masikini ulinayo kichwani.So basically the issue is not what Nikki wa pili says but it's because he got himself a hot chick?!
Some Men are hilarious & pathetic wallaih!
*Ndicho nimegundua while reading between the lines za mada ya mtoa mada na baadhi ya Wachangiaji wa humu na twitter!
okay soma vifungu vifuatavyo mkuu kumbkumbu la sheria 22;22-25, vifungu baadhi amabavyo vilinaonesha sheria haikuwa ime lalaia wanawake ile sheria ni ya watu wote ndio maana hata pale musa alirudi kutoka mlima sinai akakuta waa abudu sanamu waliua watu walio abudu sanamu , pia mungu angelikua na mfumo dume mbona kuna manabii wa kike wapo kama debora, na kuendeleaWewe ndiyo lete huo ukweli. Me si nimekuonyesha udhaifu wa Biblia kwenye suala la mfumo dume.!??
We unakili kweli, Mbona yule Mwanamke ni wakawaida tu, na tungekuwa na wifu na naye tungeanza kumuandika siku nyingi sana na si leo, kwa sababu huyo mwanamke alikuwa naye muda mrefu Sana, Acha na mawazo Masikini ulinayo kichwani.