Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

Sina shida na Nick Ila kuna kashikaji kake na Nick kanaitwa Hassan Ngima ka kule mawingu TV yaani kajamaa kanajifanya kanajua kila kitu cha Duniani afu kwa kutegemea uteuzi kanapenda sana kumfagilia mzee baba na chama kongwe!! Daah
Much know huwa wanaboa sana
 
Hoja za Nikki hazina uzito wowote,ni mwepesi tu
Kuliona hilo ni lazima uwe na ubongo unaofikiri vizuri... la sivyo utampa crefits asizostahili
 
Serious huyu jamaa hata usomi mnaozungumziaga mie nautafta siuoni. Anajua nn huyu jamaa tuwe wa kweli!

Kusoma shule sio issue, ni suala la kuhesabu madarasa tu na kuvuka darasa sio usomi, mtu yyte anaweza hilo. je; kuna scholarly material yyte amepublish kwenye eneo lolote ambalo yupo competent?
 
Watanzania tuko na mawazo hasi sana....na hayo mawazo hasi ndio yanayotudumaza akili na mwili......

Tunatumia muda mwingi sana kutafuta makosa na namna ya kukosoa baada ya kujifunza yale mazuri ya mhusika......hali hii mpaka huwa inaathiri maisha yetu ya kawaida kuwa kama tulivyo.......
 
eeeniwei. najua ukimalizana na Nikki utakuja kwa Masoud Lipanya nae useme awe anatucholea hivi: badala ya kikuku ndani tenga lenye kisu juu japo mlango umefunguliwa....aseme CCM imetuteka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…