Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
ndugu watu wana hela....usichukulie poa...BAADHI YA WATU JF WANA HELAAAA....Mimi nimewahi kudate staff wa UN tulionana hapa JF. usiichukulie poa JFHahahahahhahahaha
h mbavu zangu mie.
Doctor shika part two
Mkuu, nadhani wote tunajua msingi wa sanaa. Huwa inabebwa na mambo mawili ambayo ni fani na maudhui. Hizi ni kama pande mbili za shilingi huwezi ukazitenganisha na bado ikaitwa shilingi. Sasa sijagusa sana kuhusu sanaa (ambayo hata hivyo nina mashaka nayo) yake bali nimegusa vile anavyotumia kilemba cha usomi kufanyia watu manipulation. Hayupo straight kwenye hoja zake, huwezi kujua anasimamia kipi, hayupo clear na bahati mbaya watu hawaoni kasoro katika hilo maana kafanikiwa kuwaaminisha watu kuwa yeye ni msomi na watu wanadhani namna ya uwasilishaji wa hoja za Nick inatokana na usomi wake.eeeniwei. najua ukimalizana na Nikki utakuja kwa Masoud Lipanya nae useme awe anatucholea hivi: badala ya kikuku ndani tenga lenye kisu juu japo mlango umefunguliwa....aseme CCM imetuteka
Mkuu heshima yako,Watanzania tuko na mawazo hasi sana....na hayo mawazo hasi ndio yanayotudumaza akili na mwili......
Tunatumia muda mwingi sana kutafuta makosa na namna ya kukosoa baada ya kujifunza yale mazuri ya mhusika......hali hii mpaka huwa inaathiri maisha yetu ya kawaida kuwa kama tulivyo.......
Mkuu ukinipa kaajira hata ka kuosha hizo gari zako utakua umenisaidia na Mungu atakubarikiHapana!!!! Na hili ndo tatizo la jamii forum unachat na mtu ambaye humjui,mzee ni V8 mbili Mimi,nina 600 million bank,nina uhakika wa 4.5 million kila mwezi,tusichukuliane poa kiasi hicho
Nimependa tu jibu lako, Mungu akubariki katika hayo.Hapana!!!! Na hili ndo tatizo la jamii forum unachat na mtu ambaye humjui,mzee ni V8 mbili Mimi,nina 600 million bank,nina uhakika wa 4.5 million kila mwezi,tusichukuliane poa kiasi hicho
Kwa nini alikuacha sasa? Maana kule love connect hukatikindugu watu wana hela....usichukulie poa...BAADHI YA WATU JF WANA HELAAAA....Mimi nimewahi kudate staff wa UN tulionana hapa JF. usiichukulie poa JF
nilizidisha pombe. upo nyonyo?Kwa nini alikuacha sasa? Maana kule love connect hukatiki