Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

Mbona kama umekata moto mkuu? nzuri lakini sema umeishia njiani. Kwahyo una mkubali ama humkubali?
 
Leo imenipendeza kumzungumzia huyu mkali wa "kunata na biti!" Kumbuka sio kila mwenye uwezo wa kunata na biti ni mwanamuziki mzuri. Huyu ni msomi, tena miongoni mwa wasanii wachache sana waliobahatika kubukua vitabu (kumbuka kwa elimu ya Tanzania kusoma sio kigezo cha kuelimika). jamaa anatokea Arusha akiwakilisha kundi la WEUSI. ameweza kuhimili mikiki ya industry kwa zaidi za miaka kumi sasa tokea enzi zile za "NIAJE NI VIPI?" halafu akatisha sana kwenye ile ngoma ya "UJAMAA" bonge moja la collaboration akiwa na Pipi wa THT then hapa kati kati akaachia mapini mengi sana heavy na hapa juzi juzi aka "switch" akasema anataka 'kucum" hapa alikuwa na wenzake ila kabla ya hapo walisema wanataka "kuliamsha dude" yeaah wenyewe wanakuambia wame "switch"

Kwanini namzungumzia Nick wa pili?
Jamaa kafanikiwa kujinasibisha na usomi. Na amekuwa akichagiza kwa kuibua hoja kadha wa kadha huko twitter na instagram. Hapo ndipo ninapotaka nipadadavue leo. Jamaa kafanikiwa sana kuuaminisha umma kuwa yeye ni msomi na mwenye mawazo ya kiwango cha juu sana labda mfano wa akina Jenerali Ulimwengu au Issa Shivji. Kwanza kabisa hii ni violance maana anawafanya watu wawe inferior kwake watazame hoja zake kwa jicho lililojaa wenge na kushindwa kuchambua hoja hizo vizuri. Jmaa sio mzuri wa kujenga hoja ila yuko vizuri kwenye kucheza cheza na maneno na kuyarudia rudia hatimaye hata hoja dhaifu inaonekana tata, kumbe utata upo kwenye lugha ila sio maudhui ya hoja husika (kasikilize SWEET MANGI utaona hii kitu)

Ukiitazama hoja yoyote ya Nick as whole lazima ikuchanganye na utaishia kuvurugwa. Hoja ya Nick kwanza ivunje vunje katika parts ndogo ndogo kisha idadavue utaona maajabu yaani hakuna lolote. sasa Nick aache kutumia ujanja ujanja ambao unapelekea watu kushindwa kutambua msingi wa hoja zake ila aweke hoja vizuri ieleweke kisha ijadiliwe na kila mtu. yaani kuwa complicated sio kigezo cha usomi. Nick ajitafakari upya.

ni hayo tu.....
This comes from a hobo a.k.a shithole who can't know that violence is not violance. Unahangaika na haiba a mtu. Great mind discuss ideas not people. Kama unadhani idea yake ni shallow unapaswa uje na counter argument. Sasa unashindwa kuja na counter argument unaingia kwenye haiba. Yale ni majadiliano au mawazo yake yupo huru kuyasema. Kwa hiyo na wewe ulipaswa ulete mtazamo wa kumpinga anachosema na si kushambulia uwezo wake wa ku argue. Imebidi niongee kwa lugha unayoielewa (kuongelea haiba za watu)😀😀😀😀
 
Mkuu heshima yako,
Naamini ili uweze kudadavua au kutafiti jambo lolote kiuyakinifu yakupasa usihusishe hisia bali fikra huru. Kuwa na mawazo hasi juu ya jambo fulani si vibaya na kuwa na mawazo chanya juu ya jambo fulani si tatizo...

Tunachoangalia je wazo ulilonalo kuhusu jambo fulani limejengwa juu ya msingi gani? Je unasifia hicho kitu kwa sababu tu ya mahaba binafsi au kuna sababu fulani ya msingi inayokufanya wewe usifie!

Kwa upande wa Nick kiukweli anazingua, hajasingiziwa hata moja kwenye uzi huu.
Wewe mawazo yako yanajengwa kwa msingi upi? si ndo nyie mnalilia freedom of speech halafu mna oppress uhuru wa wengine kutoa mawazo yao. Hakuna objectivity katika mawazo ya kisiasa. Huwezi kujua msingi wa mawazo yake sababu hamna uwezo sawa wa kuona kwa jicho la tatu. Kila mmoja anakiona kitu kutokana na amesimama katika angle gani. 9 inaweza ikawa 6 inategemea wakati unaisoma umekaa upande upi. Sasa sababu mwingine anaona 6 huwezi ukasema hujui msingi wa kusema sita umebase wapi wakati haupo pale alipo yeye.
 
Hapana!!!! Na hili ndo tatizo la jamii forum unachat na mtu ambaye humjui,mzee ni V8 mbili Mimi,nina 600 million bank,nina uhakika wa 4.5 million kila mwezi,tusichukuliane poa kiasi hicho
Sasa 4.5m kwa mwezi nayo ni hela ya kusema kwa watu mkuuu??labda kama ni waserikalini,na kama ni waserikalini hauwezi pata v8 mbili labda mpigaji...au haujui hata hesabu za kudanganya bwana mdogo..
 
Huyo Niki wa pili hata hiyo million 4 per month hapati
 
Wewe mawazo yako yanajengwa kwa msingi upi? si ndo nyie mnalilia freedom of speech halafu mna oppress uhuru wa wengine kutoa mawazo yao. Hakuna objectivity katika mawazo ya kisiasa. Huwezi kujua msingi wa mawazo yake sababu hamna uwezo sawa wa kuona kwa jicho la tatu. Kila mmoja anakiona kitu kutokana na amesimama katika angle gani. 9 inaweza ikawa 6 inategemea wakati unaisoma umekaa upande upi. Sasa sababu mwingine anaona 6 huwezi ukasema hujui msingi wa kusema sita umebase wapi wakati haupo pale alipo yeye.

Hujajua msingi wa hoja yangu. Sizungumzii utofauti wa mitazamo kwa kuwa hiyo ni kawaida katika mazingira yoyote ambayo kuna uhuru wa kufikiri. Na ndiyo maana kuna wakati watu wanatakiwa kukubali kutokukubaliana maana hata common sense is not common. Ninachokipinga kwa Nick ni namna yake ya kujenga hoja. Hapendi kutoa hoja katika namna rahisi yenye kueleweka, hata jambo la kawaida atalizungumza katika namna complex kiasi kwamba kwa mtu wa kawaida kuelewa kinazungumziwa nini inakuwa mtihani.

ili nijue kama nakubaliana au sikubaliani na hoja yako ni lazima niielewe kwanza. Hoja za Nick hazieleweki ana tumia ufundi fulani ambao hauna tija akidhani huo ndio usomi lakini sidhani kutokueleweka ni sifa ya usomi. Ila mara nyingi ninapotafuta mzizi wa hoja yake na kuuelewa vizuri huwa sikubaliani nae nadhani hilo sio tatizo maana nina uhuru wa kukubali au kukataa na hii haipaswi kumfanya yeye kuacha kutoa mawazo yake maana ana uhuru wa kufanya hivyo.
 
Serious huyu jamaa hata usomi mnaozungumziaga mie nautafta siuoni. Anajua nn huyu jamaa tuwe wa kweli!

Kusoma shule sio issue, ni suala la kuhesabu madarasa tu na kuvuka darasa sio usomi, mtu yyte anaweza hilo. je; kuna scholarly material yyte amepublish kwenye eneo lolote ambalo yupo competent?
Vipi kuhusu wewe?
 
Leo imenipendeza kumzungumzia huyu mkali wa "kunata na biti!" Kumbuka sio kila mwenye uwezo wa kunata na biti ni mwanamuziki mzuri. Huyu ni msomi, tena miongoni mwa wasanii wachache sana waliobahatika kubukua vitabu (kumbuka kwa elimu ya Tanzania kusoma sio kigezo cha kuelimika). jamaa anatokea Arusha akiwakilisha kundi la WEUSI. ameweza kuhimili mikiki ya industry kwa zaidi za miaka kumi sasa tokea enzi zile za "NIAJE NI VIPI?" halafu akatisha sana kwenye ile ngoma ya "UJAMAA" bonge moja la collaboration akiwa na Pipi wa THT then hapa kati kati akaachia mapini mengi sana heavy na hapa juzi juzi aka "switch" akasema anataka 'kucum" hapa alikuwa na wenzake ila kabla ya hapo walisema wanataka "kuliamsha dude" yeaah wenyewe wanakuambia wame "switch"

Kwanini namzungumzia Nick wa pili?
Jamaa kafanikiwa kujinasibisha na usomi. Na amekuwa akichagiza kwa kuibua hoja kadha wa kadha huko twitter na instagram. Hapo ndipo ninapotaka nipadadavue leo. Jamaa kafanikiwa sana kuuaminisha umma kuwa yeye ni msomi na mwenye mawazo ya kiwango cha juu sana labda mfano wa akina Jenerali Ulimwengu au Issa Shivji. Kwanza kabisa hii ni violance maana anawafanya watu wawe inferior kwake watazame hoja zake kwa jicho lililojaa wenge na kushindwa kuchambua hoja hizo vizuri. Jmaa sio mzuri wa kujenga hoja ila yuko vizuri kwenye kucheza cheza na maneno na kuyarudia rudia hatimaye hata hoja dhaifu inaonekana tata, kumbe utata upo kwenye lugha ila sio maudhui ya hoja husika (kasikilize SWEET MANGI utaona hii kitu)

Ukiitazama hoja yoyote ya Nick as whole lazima ikuchanganye na utaishia kuvurugwa. Hoja ya Nick kwanza ivunje vunje katika parts ndogo ndogo kisha idadavue utaona maajabu yaani hakuna lolote. sasa Nick aache kutumia ujanja ujanja ambao unapelekea watu kushindwa kutambua msingi wa hoja zake ila aweke hoja vizuri ieleweke kisha ijadiliwe na kila mtu. yaani kuwa complicated sio kigezo cha usomi. Nick ajitafakari upya.

ni hayo tu.....
Kuwa na mastaz ya socialogy siku hizi ndo imekua usomi?
 
Watanzania tuko na mawazo hasi sana....na hayo mawazo hasi ndio yanayotudumaza akili na mwili......

Tunatumia muda mwingi sana kutafuta makosa na namna ya kukosoa baada ya kujifunza yale mazuri ya mhusika......hali hii mpaka huwa inaathiri maisha yetu ya kawaida kuwa kama tulivyo.......
Mungu akubariki sana..huwa natafuta comments km hizi..ni chache sana. Ubarikiwe
 
Hapana!!!! Na hili ndo tatizo la jamii forum unachat na mtu ambaye humjui,mzee ni V8 mbili Mimi,nina 600 million bank,nina uhakika wa 4.5 million kila mwezi,tusichukuliane poa kiasi hicho
Sawa Eroo,vipi habari ya Arusha lakini?
 
Hata mange kimambi haelewi insha za huyu jamaa.
Watu mashuhuri wengi wanashindwa kutofautisha kati ya fasihi na kutoa hoja ya kawaida
 
Back
Top Bottom