Nicki minaj amjibu Remy ma

Nicki minaj amjibu Remy ma

Nicky ameharibu kuwashirikisha kina wyne,she would have gone solo ndo ingenoga,alowashirikisha mwenyewe ni ma sack rappers..
 
Lkn ndo rapp song inayoongoza iTunes kimauzo pande za state....Nicki mjanja sana anafanya mziki biashara ngoma ibeng sana maclub na TV/radio station lkn remy ma anafanya ngumu
 
Everyone was excited anaisubilia hiyo ngoma,kwa bahati mbaya sio ngoma Kali,lady ma won the battle Siku alipoitoa ngoma yake,nikky kajibu kwa masihara sababu alijua watu wanaisubilia and she knew she could make money otta of it,kwa bahati mbaya her money passes through three hand before she puts it in her hand,no wonder akina wyne ndo wamemuomba amjibu for they benefit out of it!!
 
Ww team Remy ma naona maana una mdefensi sana.....nicki anaangalia soko ila Remy ma anaangalia sifa
 
Lil Kim na Foxy Brown ndio majembe ya kuchana hao kina Nicki na Remy Ma ni wakubebwa tu na TS na YM.
 
Back
Top Bottom