Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]daah huku nmepotea njia aisee nlikuwa tuu kwenye mizunguko natafuta group la wajasiriamali sijui mnaweza nisaidia
Lkn ndo rapp song inayoongoza iTunes kimauzo pande za state....Nicki mjanja sana anafanya mziki biashara ngoma ibeng sana maclub na TV/radio station lkn remy ma anafanya ngumuNicky ameharibu kuwashirikisha kina wyne,she would have gone solo ndo ingenoga,alowashirikisha mwenyewe ni ma sack rappers..
Everyone was excited anaisubilia hiyo ngoma,kwa bahati mbaya sio ngoma Kali,lady ma won the battle Siku alipoitoa ngoma yake,nikky kajibu kwa masihara sababu alijua watu wanaisubilia and she knew she could make money otta of it,kwa bahati mbaya her money passes through three hand before she puts it in her hand,no wonder akina wyne ndo wamemuomba amjibu for they benefit out of it!!Lkn ndo rapp song inayoongoza iTunes kimauzo pande za state....Nicki mjanja sana anafanya mziki biashara ngoma ibeng sana maclub na TV/radio station lkn remy ma anafanya ngumu
Ww team Remy ma naona maana una mdefensi sana.....nicki anaangalia soko ila Remy ma anaangalia sifaEveryone was excited anaisubilia hiyo ngoma,kwa bahati mbaya sio ngoma Kali,lady ma won the battle Siku alipoitoa ngoma yake,nikky kajibu kwa masihara sababu alijua watu wanaisubilia and she knew she could make money otta of it,kwa bahati mbaya her money passes through three hand before she puts it in her hand,no wonder akina wyne ndo wamemuomba amjibu for they benefit out of it!!