Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
New couple in town?!
Hii ni kutoka Insta ya Nicki.
Alipoulizwa na fan kama wana date.
"You dating Eminem???" ... Nicki akajibu with a simple, "yes."
Kwenye album yake mpya iliyo njiani, Nicki pia kasema kuhusu Em..
"Told 'em I met Slim Shady, bag the Em.Once he go black, he'll be back again."